Nimecheka sana wadau

Nimecheka sana wadau

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,581
Reaction score
20,216
ila nimeuzunika aisee
 

Attachments

  • 1399655826511.jpg
    1399655826511.jpg
    13.1 KB · Views: 1,152
Yan kweli hata karaha huwa na furaha mana nimefungua nicheke nikakereka nikaishia kucheka tu
 
Basi mi ntakua nimezeeka. Sijaona cha kucheka wala kuhuzunika. Pia nisingeanzisha thredi ningekuta sehemu.
 
Hahahahaha just fikiria list ya watu anaoamini kwa uchache wao mpaka afumbe jicho moja ili aone! Hahahahaa
 
Mleta mada ungeandika kiswahili maana ya hayo mameno. lugha ya mkoloni tatizo kwa jf members
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom