Nimecheka sana! Sikia hii:

Nimecheka sana! Sikia hii:

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,444
HIVI NDIVYO MMOJA KATI YA WANAFUNZI WA FORM FOUR
2012 ALIVYOJIBU MTIHANI WAKE WA KISWAHILI.

SWALI: Eleza hatua za kuandaa MDAHALO.
Akiwa hajui maana ya mdahalo alijibu hivi...

Kwanza unauchukua mdahalo wako unauosha vizuri.

Pili hakikisha mdahalo wako haujakomaa.

Tatu Bandika sufuria yako jikoni.

Nne Weka mdahalo wako kisha uache uchemke kwa
dakika kumi na tano.

Tano mdahalo wako ukiwa tayari uepue.

Sita Mdahalo huu unaweza kuula na kinywaji chochote.
 
Marudio jukwaani pale JF
 
Teh! Nili2miwa kwenye phone cku ya2 baada ya matokeo kutoka.
 
jamani hilo si la kucheka,tujiulize elimu yetu inaelekea wapi?tutakuja kuwa na taifa gani siku zijazo?tutampata wazuri ,raisi,au hata mwalim kwa staili hiyo?
 
kama mitala ya kufundishia hamna !wewe unategemea atajibu nini?
 
jamani hilo si la kucheka,tujiulize elimu yetu inaelekea wapi?tutakuja kuwa na taifa gani siku zijazo?tutampata wazuri ,raisi,au hata mwalim kwa staili hiyo?

Nafikiri kuna jukwaa husika kwa mada yako, huku tuko kwa ajili ya kupunguza stress.
 
Back
Top Bottom