Yaani kweli limkutalo mtu ndilo limtokalo..sasa kwa kuwa wanaume wapo wengi asiwaze??anasema hivyo kwa kuwa wote wanaomzunguka walikuwa wakinfahamu huyo aliyempiga chini.
Sasa atakapoonekana ana uhusiano na mtu mwingine hachelewi kuitwa kicheche na.ndo mwisho wa kuolewa ataendelea kugegedwa mpaka kiama
unigegede au tugegedane? unadhani mm mzembe kiasi hicho eeh? unigegede tu niwe nimelala nasikilizia..tunaenda sawa..
unatania weye...wanaume wa sasa wakae miaka miwili na demu bila kumgegeda!!?? kwanza mwanamke mwenyewe atakushanga wee f.ala nini
Habari wana MMU? Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulikuwa tunapendana sana na tulipanga Mungu akijaalia tufunge ndoa mwaka huu mwishoni. Sasa leo ameniandikia meseji akiniambia Mama yake amemwambia hawezi kunioa mimi kwa sababu sio wa kabila lake, na yeye kasema hawezi kuacha kumtii mama yake.
Ameniomba tuachane na hivi sasa mama yake amemuunganishia kwa msichana mwingine ambaye ni kabila lao. Hapa nawaza na kuwazua hivi naanza mahusiano na nani? Wanaume wote sio kanisani, ofisini walikuwa wanafahamu mahusiano yetu na waliyaheshimu. Leo hii naanzaje kusema niko single? Ndoto ya kuolewa naona imepaa.
Naombeni ushauri wenu wana MMU, haya mambo yamenichanganya sana.
mhm mie napenda sana mwanamke anayejituma kitandani....ila public sex nayo wapenda?
kafie mbele, public sex unataka umfurahishe nani?
You will be fine. Nothing heals a broken heart like time, love and tenderness.
Look on the brighter side sweetie. He did not stand you up at the altar, hajakuacha na uja uzito, etc. Pole.
Acha usanii wako, unasema meseji kakutumia Leo,mchujo usingizi umeukosa saa ngapi?Asante. Inauma sana, hata usingizi hauji kabisa.
Acha usanii wako, unasema meseji kakutumia Leo,mchujo usingizi umeukosa saa ngapi?
Eeh mwaya lkn pole
Mimi naomba nikushauri hapo tu nilipo-bold. Inaonekana kuna mambo mawili makubwa yanayokusumbua na kukupa mawazo hapa. Kwanza utaanzanje kusema kuwa uko "single? na pili ni hofu ya kupaa kwa ndoto yako ya kuolewa.
Naomba nikutoe wasiwasi kuwa wanaume wote wa kanisani na ofisini wanajua kuwa uko "single" ila haukuwa "available". Uko single kwa maana ya kuwa hujawahi kuolewa ila haukuwa available kwa maana kuwa ulikuwa una tapeli anayejidai kuwa mchumba wako. Nakuhakikishia kuwa kutakuwa na wanaume ambao walikuwa wanapiga magoti kwa Sir God ili utokee mtafaruku na wao wajaribu bahati zao za kukupata wewe. Siku hawa jamaa wakipata habari kuwa uko "single" and "available" watarukaruka na kushangilia na si ajabu baada ya muda utaanza kuona wakijisogeza na kujichekeshachekesha. Kuna msemo wa kiswahili unasema "ukisema wa nini wenzako wanasema tutampata lini". Ila mara hii uwe makini kidogo usinyanyue sketi na kuvua pichu yako mpaka kieleweke.
Ngoja nikuibie kidogo siri ya sisi Wanaume. Huwa tunavutiwa na udadisi wa kujiuliza huko ndani ya nguo kuna nini. Ukishazivua ule udadisi unaomsukuma mwanaume kukufuatilia unaanza kupungua taratibu. Na kila unavyofunua ile kanuni ya kichumi ya "diminishing marginal utility" inachukua nafasi yake. Kama sikosei kanuni hii ya kiuchumi inatujuza kuwa "kadiri unavyozidi kutumia kitu hamu ya kukitumia inapungua kadiri unapoongeza kipimo kidogo cha matumizi ya kitu hicho". Wachumi msinirushie mawe kama nimechemsha kwenye kanuni yenu. Najaribu kumsaidia huyu mdogo wangu tu hapa.
pole sana.kuachwa huwa kunaibua machungu sana.swali kuu linalokuja ni namna ulivyokataa vitu vingi kwa ajili ya uhusiano wenu,inauma sana.be strong na usijali kejeli zozote kutoka kwa yeyote we songa mbele maisha bado yanaendelea.don't let anyone akukatishe tamaa.
pole mwaya,songa mbele na maisha yako, kwanza hujazaliwa nae mlikutana kimjinimjini, kubali yaishe la sivyo utajikondesha kwa mawazo wakati ndio imetoka,huyo alikua c muoaji!utampata uliepangiwa na Sir God usijali!
achana naye huyo, hakufai maana bado ni mtoto..utoto unamsumbua, akikua ataacha tu
Ni ukubwa (umri) gani huo ambao hauhitaji shule? Amekushauri urudi college ili iwe njia ya kujiweka busy na hivyo kusahau haraka hili jambo. Hata hivyo sio lazima urudi shule, unaweza kutafuta shughuli yoyote itakayoifanya akili yako izame kwa hiyo shughuli ili umsahau au usahau kusikilizia maumivu. Pole sana, jipe moyo kuwa hii hali itapita na utapata furaha. Be strong and move on.
kama hutajali nitumbukizie kwenye inbox yangu namba ya miaka yako labda naweza kuwa na neno linaloweza kukufaa.
dah kwa situation ilivyo lazima uchanganyikiwe so kama vip we kunywa sumu ya panya ufe zako