dvedastuss
Member
- Apr 3, 2014
- 35
- 11
Nimeishi naye kwa miaka 8 ndoa ikiwa na furaha kama ni makosa bac ni madogo mdg tuliombana msamaha yakaisha ila tuliishi mbali mbali sababu ya kazi ya mume nami nikiwa na kazi Mwenyezi alitujalia watoto 3, ke 2 na me 1 na sasa huyu me ana miezi 3,tatizo lilianza 2013-2 tuenda kwa wazazi wa mume kuzungumza lkn hakuna msaada zaidi kwani mume kabla hatujakaa kikao na wazazi wake aliondoka akanambia nami nirudi kwangu na watoto kwani tumejenga,tuliongea na mume wangu kuwekana sawa maisha yakaendelea lkn cha ajabu baada ya kujifungua huyu mtoto mume hataki tena mawasiliano anasema mimi nilitaka kumuua na kwenye nyumba amenitoa na yeye anataka kwenda n'gambo kutafuta maisha kaacha kazi na mimi alinizuia baada ya kutoka kwenye uzazi sasa anataka watoto hawa wakubwa niwapeleke kwa mama yake nami sipendi kutengana na wanangu kwani nawapenda sana na sijawi tengana nao tangu nimewazaa daima wamekuwa watoto wenye furaha,sasa niko kwa ndugu zangu na watoto je nifanyeje kwani hata kuwajulia hali watoto sasa ni shida.