Kuna msichana mmoja mzuri na anavutia nimetokea kumpenda,nikaanza mchakato wakumtokea.kama mnavyojua wadau huwezi kukurupuka kwenye hili nikaanza mchakato taratibu wakutengeneza friendshp na nikawin.nikaamua kupiga second step ili niweze kutamka kilichopo moyoni mwangu bt kila nilipokua naomba appointments alikua ananizungusha na wakati mwingine nilikuwa nikituma nikituma text hazijibiwi ingawa somtyms hua ananikumbukaga.kilichonifanya niandike haya ni jambo lililonikuta leo,wakati niko matembezini mida ya saa moja ucku huku mtaani kwetu gafla nikaona gari ndogo imesimama mbele yangu kama hatua 20 toka nilipo na nilipoifikia tu nikamuona yule msichana ameshushwa kwenye ile gari na nikapata bahati yakumuona aliyemshusha kua nikijana mwenzangu kama mimi sema mm sina gari kama yeye na nilipojaribu kupiga simu yake ilikua imezimwa kwa wakati huo.wadau naomba mawazo yenu.