Nimechanganyikiwa!!!wadau naomba mnisaidie...

Mkwanda

Senior Member
Apr 6, 2012
123
14
Kuna msichana mmoja mzuri na anavutia nimetokea kumpenda,nikaanza mchakato wakumtokea.kama mnavyojua wadau huwezi kukurupuka kwenye hili nikaanza mchakato taratibu wakutengeneza friendshp na nikawin.nikaamua kupiga second step ili niweze kutamka kilichopo moyoni mwangu bt kila nilipokua naomba appointments alikua ananizungusha na wakati mwingine nilikuwa nikituma nikituma text hazijibiwi ingawa somtyms hua ananikumbukaga.kilichonifanya niandike haya ni jambo lililonikuta leo,wakati niko matembezini mida ya saa moja ucku huku mtaani kwetu gafla nikaona gari ndogo imesimama mbele yangu kama hatua 20 toka nilipo na nilipoifikia tu nikamuona yule msichana ameshushwa kwenye ile gari na nikapata bahati yakumuona aliyemshusha kua nikijana mwenzangu kama mimi sema mm sina gari kama yeye na nilipojaribu kupiga simu yake ilikua imezimwa kwa wakati huo.wadau naomba mawazo yenu.
 
Mkuu kila umuombae sio lazima akukubali..

Na kukataliwa sio lazima kwamba sababu ni kipato au wewe hutoshelezi (labda huo uliyemuona leo alikuwa nae kabla yako)

Na kama ni kweli amekukataa sababu ya kipato / hali yako ya maisha, basi hizo kunde alizokunyima zitakupunguzia mashuzi.., sababu hakufai wala hamfai yoyote yule.

Pia mkuu kumbuka hii ni kama marathon kushindwa mwanzo mwanzo sio kwamba utashindwa mpaka mwisho (kama kweli unampenda mueleze ukweli na mpe muda labda atakuchagua wewe )
 
dah!thanx bro,i wil take it into consideration.
 
Kuna msichana mmoja mzuri na anavutia nimetokea kumpenda,nikaanza mchakato wakumtokea.kama mnavyojua wadau huwezi kukurupuka kwenye hili nikaanza mchakato taratibu wakutengeneza friendshp na nikawin.nikaamua kupiga second step ili niweze kutamka kilichopo moyoni mwangu bt kila nilipokua naomba appointments alikua ananizungusha na wakati mwingine nilikuwa nikituma nikituma text hazijibiwi ingawa somtyms hua ananikumbukaga.kilichonifanya niandike haya ni jambo lililonikuta leo,wakati niko matembezini mida ya saa moja ucku huku mtaani kwetu gafla nikaona gari ndogo imesimama mbele yangu kama hatua 20 toka nilipo na nilipoifikia tu nikamuona yule msichana ameshushwa kwenye ile gari na nikapata bahati yakumuona aliyemshusha kua nikijana mwenzangu kama mimi sema mm sina gari kama yeye na nilipojaribu kupiga simu yake ilikua imezimwa kwa wakati huo.wadau naomba mawazo yenu.

kaka huyo mpotezee tu, yeye level zake za juu za wenye magar
 
Yap..! Bro pole sana bt ndo hali arisi, kikubwa embu tulia vuta pumzi kidogo kujua kama yule jamaa aliye kuwa na gar kunalolote lnalo endelea..! Najua utaupa moyo wako kaz nzito ila nikatika kutafuta sehemu utakayo pata furaha, then kama utagundua lolote sasa utaangalia kama kuna uwezekano wakujaribu tena kama hakuna plz ucforce mwache aende piga moyo konde one day yes... Thanx
 
Anaweza kuwa cousin wake. Mkaribishe mahala kwa chakula cha mchana, take a walk na umjue zaidi. Muulize kama ako single
 
Wakati wewe unatengeneza friendship.Wengine wanatengeneza relationship.Msichana ukimwambia unataka urafiki tu,anatafuta wa relationship.Baadae akianza kukuambia nna mchumba angu,unaanza.U know nlikupenda,its too late.Inawezekana huyo boy ni ndugu yake,kaka yake,mchumba wake,hatuelewi which is which.ila jaribu kumuuliza.Go straight as a man,utakuta ndege kachukuliwa.u want friendship,another man kam and want relationship.As a man,u shuld be straight with wat friendship u nid to these gals.Mwishon mnawapa wakati mgumu wa kuselect,ukute ana boyfnd,na wewe kama rafiki tu.
 
Kwa uzuri ulioutaja nina uhakika huyo msichana alikuwa tayari na mtu wewe uliingilia penzi la wenzio bila kutambua, achana nae utapata mwingine tu.
 
Ilo gari lnaweza likawa ni la baba wa huyo kijana,so lisikutishe!
 
Huyu hakuwa wako tokea mwanzo anajionyesha huwa busy na jamaa yake!! don't waste your time, just look for another gal you will have yours.

Harafu mambo ya kusema umechanganyikiwa yanatoka wapi hapo mkuu au ndiyo kuturusha roho? Kuwa uyaone.
 
jaribu kumwambia unachohisi ndani ya moyo wako,but umechukua muda kuufikisha ukweli,ila muulize kwanza who is that guy.
 
Sasa sisi tukushauri nini na picha ulishaiona toka mwanzo kuwa hayuko interested with you na zaidi ana jamaa wataka nini tena. Tambaa zako
 
Kuna msichana mmoja mzuri na anavutia nimetokea kumpenda,nikaanza mchakato wakumtokea.kama mnavyojua wadau huwezi kukurupuka kwenye hili nikaanza mchakato taratibu wakutengeneza friendshp na nikawin.nikaamua kupiga second step ili niweze kutamka kilichopo moyoni mwangu bt kila nilipokua naomba appointments alikua ananizungusha na wakati mwingine nilikuwa nikituma nikituma text hazijibiwi ingawa somtyms hua ananikumbukaga.kilichonifanya niandike haya ni jambo lililonikuta leo,wakati niko matembezini mida ya saa moja ucku huku mtaani kwetu gafla nikaona gari ndogo imesimama mbele yangu kama hatua 20 toka nilipo na nilipoifikia tu nikamuona yule msichana ameshushwa kwenye ile gari na nikapata bahati yakumuona aliyemshusha kua nikijana mwenzangu kama mimi sema mm sina gari kama yeye na nilipojaribu kupiga simu yake ilikua imezimwa kwa wakati huo.wadau naomba mawazo yenu.

Hiyo ngoma ina mwenyewe kaka endelea kusaga soli utampata wa kwako tena mrembo kuliko huyo.
 
Vyema, kjana hebu fikiria ukinunua cm ya mchina kwa lengo la mzik ukbal na gharama pia za kuchaj, lakn kama unania na mawasiliano na ubora wa cm utanunua hata Nokia 1200, maana yangu kama unamwona dda hyu anapenda vya juu na ukafanikiwa kumpata ataksumbua sana na ndo hatima yake unajuta, hebu shukur kumkosa na nakuomba kujribu kumfaham kwanza mtu kabla ya kuanza mahsiano itakusaidia..
 
Umechanganyikiwa na nini tena dogo, mbona nyie wengine hamfahamu hivi mkifikia time ya kusoma calculas mtaweza kupata majibu, yani mwanamke yule mimi namuona mstarabu sana hajakutukana tu...unamuona na boy friend yake unampigia simu, we unge kula kona tu kama hujaona kitu.

Hata kama alikupanga kwenye foleni sasa umekosa :A S shade:
 
Mkuu huyo mtt hajaanza kukuvutia wewe, keshawavutia watu kibao, so kumkuta akiwa na mwingine usishengae coz mti wenye matunda ndo upigwao mawe.
Kwanza angalia is she ur type? Kama sio achana nae mkuu usijejuta baadae mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom