nimechanganyikiwa ..naombeni ushauri wa ukweli wana JF

Makungwi wangu First lady. gfsonwin AshaDii na wengineo nijibuni lleo mwisho siulizi tena
Smile ndoa ni mpango kamili wa mwenyezi mungu ..lakini sasa watu tunaharibu maana halisi ya ndoa tunachakachua
kesho nitatoa mtazamo wangu ila sasa ..siko powa sana

Mwanzo 2:24

Mungu alisema si vema huyu mtu awe peke yake nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom