Nimechanganyikiwa mwezenu

Sina ushauri mzuri kwako utanisamehe ktk hlo bt next time uwe unashirikisha ubongo ktk maamuz yako
 
Funga safari ukaonane nae live atakuonea huruma ukiwa unamlilia! Kesi kubwa kama hii haiwezi ishia kwenye cm uwege na akili!
 
Hata kama alitongozwa huko fursa ziko wazi... kajipa chance ya kwenda kusikiliza kama huko kwingine panalipa zaidi au la. Pengine baada ya kusikiliza mapigo mapya akaona hamna kitu bora mkaka yule wa mwanzo. Fair game tu afterall maana sio mke na mume hao, bado kila mmoja ana nafasi ya ku keep looking. Una uhakika gani huyo mwanaume hana demu mwingine. Jamaa amsamehe mbona sie wanawake tunasamehe sana. Dada omba msamaha wa dhati halafu give him time to think and decide. If u were that worth it to him atakusamehe. Otherwise it was neve meant to be usikonde ndo ukubwa!
 
Mwanamke namtazama kama THE 1st & only WONDER OF THE. WORLD!
 
Umefanya makosa kwahiyo ulikuwa hujui mwanaume alikuwa anakuitia nn ? ulikusudia kumsaliti pole tulia umuombe mungu huenda kamrudisha
 
Wanaume wana roho ngumu tu mbna ssi huwa wepesi kusamehe hta kama kafanya kosa kubwa??? Muombe mungu ampe moyo mwepesi
 
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman

basi hayo maneno ndo yanayomfanya akatae kukusamehe na wala sio kwenda kusikiliza kama unavyosema..........
 
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman


Tatizo lako hauweki wazi vzr nini hasa kilitokea.. Sasa hata kama alirekodi mazungumzo yote kuna shida gani kama mazungumzo yako yalikuwa mzauri siyo ya usaliti!!!! Kama ulimkana mchumba wako kwa huyo jamaa, basi endelea nae sasa kwani tamaa imekuponza!!! Tatizo la kina dada wengi ni kutokuwa na msimamo...kutongozwa mbona ni kawaida sana, hata kama ukiolewa utatongozwa tuuu! Ila sasa shughuli ni namna unavyo respond!
Kama ulimkubali mjamaa, kweli hata ingekuwa mimi ningekumwaga tuu
 
kwani kwa huyo kaka ulikuwa unafuata nini..??? Halfu isije ikawa jamaa alikuwa kamtuma kukupimepo umayala..

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…