dada preta shkamoo!
Eti kuna mkaka kaniminyia jicho moja. Maana yake nini, nifanyeje?
Msiwe na wasiwasi akikua ataacha
Kaka zangu na Dada zangu kwanini..mnakua rude..
Ivi mwafikiri natania hapa.
Kumbukeni wengne tumesoma seminari all our educational life..
Guyz!
Umri wa nin.. Im matured.
Jamani hivi ni vichekesho sana, mtoto analalamika kwa wakubwa zake.
jamani sasa imetosha...
dogo keshaelewa makaripio yoote aliyopewa na baba/mama na kaka/dada wakubwa zake nadhani sasa tuanze kumsaidia kijana wetu ndio anakuwa na mabadiliko ndio yanamjia...
Kifupi naamini tayari keshapata namba ya simu ya demu na wanawasiliana kwa salamu na mambo ya kawaida kama kaka na dada sasa kwa vile dogo kaambiwa kuwa sauti yake nzuri na anahisi kuwa demu kesha-mzimia sasa anaomba msaada ni jinsi gani abadilishe game kutoka kaka na dada sasa aanzishe urafiki wa kimapenzi...na ikumbukwe pia kuwa ni demu keshaanza kuonyesha hisia za mapenzi kwa kuvutiwa na sauti ya kijana wetu...
naomba tum-gide vizuri kijana wetu na tutazama kila every possible angle ili mission iliyoko mbele yetu isijeku-abbort in a course of implementation...wanaume tuje na mbinu za kumpata binti aliyesema sauti ya dogo letu/dume inamvutia na kina dada muje na mbinu za ku-chomoa na kulifanya zoezi kuwa gumu ili dogo ajifunze both tricks za kiuma na kike.
Hii ni lesson ya kutongoza anayotakiwa aipate dogo wetu..so lazma aelewe kum-convince mwengine wa jinsia tofauti kukupa sehemu zake za siri kuzichezea sio shughuli ndogo.
dogo kama nimekosea kukuelezea unachohitaji kusaidiwa tafadhali sema tuweze kukusaidia vizuri
Hata mimi nimekaa seminari miaka 7 lakini siwezi kuomba ushauri kwa ishu kama yako.Kaka zangu na Dada zangu kwanini..mnakua rude..
Ivi mwafikiri natania hapa.
Kumbukeni wengne tumesoma seminari all our educational life..
Guyz!
Umri wa nin.. Im matured.
ok....relax.....
hebu niambie mie dada yako.....
huyo unaechat nae mna uhusiano wa kimapenzi......?
alikwambia hivyo katika hali gani.......?
wewe ukiwa unaongea nae unajisikiaje....?
ukishajibu haya....tutaendelea.....
Hilo 2, nenda studio katengeneze single halafu mpelekee kwenye CD, hiyo ndo dawa yake pia utapunguza gharama za cm.
Maandalizi mema.
dada preta shkamoo!
Eti kuna mkaka kaniminyia jicho moja. Maana yake nini, nifanyeje?
Kisu ntapata wapi? Nahitaji kisefuria nikinge damu ya kisusio pia, nifanyeje dada?marhaba mdogo wangu King'asti........
huyo kaka kama amekuminyia jicho.....hizo ni dalili za buzi......mchune.....
ukiona anataka kustukia.......njoo nikuelekeze zaidi......
Kisu ntapata wapi? Nahitaji kisefuria nikinge damu ya kisusio pia, nifanyeje dada?