Nimechanganyikiwa 4 real...

Kaka zangu na Dada zangu kwanini..mnakua rude..

Ivi mwafikiri natania hapa.

Kumbukeni wengne tumesoma seminari all our educational life..

Guyz!

Umri wa nin.. Im matured.

usilete utetezid haifu hapa! mwelewe SnowBall hapo juu!! Usitutukane kwa kusema sisi tuliosoma semiari ni Bogasi
 
Kuna dem nachat nae na cm..
Kaniambia leo eti sauti yangu nzuri sana maskioni mwake..

Yani uwa anataka niendelee ongea tu
nikimpigia..

Cjui nifanyeje nimekosa
neno la kumjibu...sijawah ambiwa hvyo

Nifanyeje.?

KARIBUNI

press ctrl + alt + tab from ur heart now
 
Kwani sauti yako ikoje? Kibesi au nyembamba? Kama kibesi atakuwa kakwambia kweli...kama nyembamba kakupaka mafuta na mgongo wa chupa.

Mi nadhani mtu ukisifiwa na sifa kweli unayo utajua tu. Sasa kushangaa kwako kunafanya nihisi labda unadanganywa


wala sijui yeye anaisikiaje upande wa pili...nataman ningejua..

Ila nina bass nzito
 
Hilo 2, nenda studio katengeneze single halafu mpelekee kwenye CD, hiyo ndo dawa yake pia utapunguza gharama za cm.

Maandalizi mema.
 
usilete utetezid haifu hapa! mwelewe SnowBall hapo juu!! Usitutukane kwa kusema sisi tuliosoma semiari ni Bogasi


mie nimesema kwamba waseminari ni "BOGASI".!!??
.no plz..rekebisha kauli yako
 
hivi Kaunga wewe ndo ulipendekeza kuwe na sub forum dada la maswala serious humu mmu eeeh? Sasa naona umuhimu wake.......
 
Last edited by a moderator:
Poleni wasichana...
Hamna watetezi..

By the TZ ni nchi ya wanafki..

Sishangai hizi comments
 
Mulize....unanitaka?akikujibu...kata simu fasta asikuulize kingine..then u'come..i'l tel u next step..pole sana,usijali slowly slowly..tajua tu..okie?
 
Tatizo Hana Uchungu Wa Vocha Cz Wewe Ndiye Unaempigia.. Sasa tulia..Kama Atapenda Kuendelea Sikiliza Hyo Saut,Atakupgia!
 
Kuna dem nachat nae na cm..
Kaniambia leo eti sauti yangu nzuri sana maskioni mwake..

Yani uwa anataka niendelee ongea tu
nikimpigia..

Cjui nifanyeje nimekosa
neno la kumjibu...sijawah ambiwa hvyo

Nifanyeje.?

KARIBUNI

sasa we dogo unachat kwa sauti au sms?? chakufanya ni PM namba yake!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom