Nimechanganyikiwa 4 real...

Nimechanganyikiwa 4 real...

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,399
Reaction score
16,741
Kuna dem nachat nae na cm..
Kaniambia leo eti sauti yangu nzuri sana maskioni mwake..

Yani uwa anataka niendelee ongea tu
nikimpigia..

Cjui nifanyeje nimekosa
neno la kumjibu...sijawah ambiwa hvyo

Nifanyeje.?

KARIBUNI
 
Una umri gani aiseee?
Ukinijibu ntarudi kukushauri cha kufanya..
Halaf kama una sauti nzuri kwa nini usiwe m'muziki???
 
Kaka zangu na Dada zangu kwanini..mnakua rude..

Ivi mwafikiri natania hapa.

Kumbukeni wengne tumesoma seminari all our educational life..

Guyz!

Umri wa nin.. Im matured.
 
Kwani sauti yako ikoje? Kibesi au nyembamba? Kama kibesi atakuwa kakwambia kweli...kama nyembamba kakupaka mafuta na mgongo wa chupa.

Mi nadhani mtu ukisifiwa na sifa kweli unayo utajua tu. Sasa kushangaa kwako kunafanya nihisi labda unadanganywa
 
...mods anzisheni jf kids club plz....


natumia mchina nashindwa fahamu kama wewe ni "SHE" au "HE"...naomba uniambie jinsi yako..na umri..then ntakujibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom