nimechalalala mbayaaa

Kwa kawaida huwezi nikuta JF weekend ila hii balaaa sina mkwanja AKA fuba nimekuwa mdooooogo nimechalalaaaa mbaya kudadadadeki nimetia adabu nimeangalia movie zishaisha......
...mbaya zaidi mashori kibao hawapokei simu mmoja kasema nimfuate nimpeleke dar zoo aisee nimemwambia naumwa!!!!!!![/QUOTE]

ha ha haaa haaa ha, jamani JF tamu.
 
...mbaya zaidi mashori kibao hawapokei simu mmoja kasema nimfuate nimpeleke dar zoo aisee nimemwambia naumwa!!!!!!!
Wewe baba mubaya kukaacha kasholi kisa kuchachalaa vibayaa, babaaaa wewe baba mubaya tena mubaya sanaaa.......
 
Lakini Dorin tamu zaidi avator yako! NakuPM sasa hivi, duuuuuuuh.
 
Kwa kawaida huwezi nikuta JF weekend ila hii balaaa sina mkwanja AKA fuba nimekuwa mdooooogo nimechalalaaaa mbaya kudadadadeki nimetia adabu nimeangalia movie zishaisha......
...mbaya zaidi mashori kibao hawapokei simu mmoja kasema nimfuate nimpeleke dar zoo aisee nimemwambia naumwa!!!!!!!
Wewe baba mubaya kukaacha kasholi kisa kuchachalaa vibayaa, babaaaa wewe baba mubaya tena mubaya sanaaa.......
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom