Tafuta mawasiliano yao uwaombe hiyo code.Nimeomba nipewe hyo confirmation code kutoka udsm lakn sijatumiwa hadi Leo, na deadline inakaribia, nifanyaje waungwana??
Pia fanya request kwenye icho chuo kingine uone kama watakutumia , pia cheki kwenye email zote ulizotumia kuapply vyuo ulivochaguliwaNimeomba nipewe hyo confirmation code kutoka udsm lakn sijatumiwa hadi Leo, na deadline inakaribia, nifanyaje waungwana??