Nimechaguliwa multiple selection na mpaka sasa sijapata confirmation code. Naomba mwongozo wana jamvi

Nimechaguliwa multiple selection na mpaka sasa sijapata confirmation code. Naomba mwongozo wana jamvi

Jounee

New Member
Joined
Apr 29, 2015
Posts
1
Reaction score
1
Nimeomba nipewe hyo confirmation code kutoka udsm lakn sijatumiwa hadi Leo, na deadline inakaribia, nifanyaje waungwana??
 
Kumbuka deadline ni trh 28 (kesho Kutwa), Jaribu kuwasiliana na TCU pia na chuo husika,
Pia request hizo code mara kwa mara, na uangalie Email yako.
Mda mzuri wa kurequest hizo code ni kuanzia sa6 usiku hadi 12 asubuhi, mida hii huwa code wanakutumia haraka
 
Nimeomba nipewe hyo confirmation code kutoka udsm lakn sijatumiwa hadi Leo, na deadline inakaribia, nifanyaje waungwana??
Pia fanya request kwenye icho chuo kingine uone kama watakutumia , pia cheki kwenye email zote ulizotumia kuapply vyuo ulivochaguliwa
 
Nakukumbusha tu kuna watu 2000 wamedisco huko 7000 wanasupplementary nadhani wanakuonea huruma
 
Back
Top Bottom