Tuma namba yako ya mshahara, no ya akaunti nikutumie buku uanze kudunduliza kujenga kwako...Ndg zangu wana JF, Tangu nimezaliwa sijawahi hata kuwa monitor darasani lakini katika mshangao jana wakati natoka kazini nilikuta kamati ya wazee nyumbani ikinisubiri kunipa gud news kuwa wamenichagua kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Aliyekuwepo wamemtoa kwa sababu ya ulevi na kutokutumikia wananchi katika eneo lake la nyumba kumi. Naona sasa safari ya kuwa mbunge inaninyemelea.
Ila sheria inasemaje kwa mtu mpangaji kuwa mjumbe si ninaweza kupigwa notice at any moment nikapotea au nikahama kwa hiari yangu mwenyewe kutafuta nyumba au makazi ya bei rahisi?
Kwa hiyo ndugu wana JF naombeni pongezi zenu. Wazungu wanasema rome was not built at a day au safari ya hatua 1,000,000,000 ilianza na hatua 1.
Mjumbe wa nyumba kumi mikumi str.
Pongezi. Mwanzo mzuri.
Nenda kanisani kaombe baraka uweze kuwa mjumbe bora! Usionekane Bagamoyo
Hongera sana Nguli. Watu wana imani na matumaini makubwa na wewe. Hilo kwa lenyewe tayari ni ushindi wa aina yake. Lakini ni hatua muhimu pia kwa safari yako ndefu kupanda huenda hata kutinga mjengoni. Bon Voyage!
:a s 41:
Tuma namba yako ya mshahara, no ya akaunti nikutumie buku uanze kudunduliza kujenga kwako...
Ndg zangu wana JF, Tangu nimezaliwa sijawahi hata kuwa monitor darasani lakini katika mshangao jana wakati natoka kazini nilikuta kamati ya wazee nyumbani ikinisubiri kunipa gud news kuwa wamenichagua kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Aliyekuwepo wamemtoa kwa sababu ya ulevi na kutokutumikia wananchi katika eneo lake la nyumba kumi. Naona sasa safari ya kuwa mbunge inaninyemelea.
Ila sheria inasemaje kwa mtu mpangaji kuwa mjumbe si ninaweza kupigwa notice at any moment nikapotea au nikahama kwa hiari yangu mwenyewe kutafuta nyumba au makazi ya bei rahisi?
Kwa hiyo ndugu wana JF naombeni pongezi zenu. Wazungu wanasema rome was not built at a day au safari ya hatua 1,000,000,000 ilianza na hatua 1.
Mjumbe wa nyumba kumi mikumi str.
ndg zangu wana jf, tangu nimezaliwa sijawahi hata kuwa monitor darasani lakini katika mshangao jana wakati natoka kazini nilikuta kamati ya wazee nyumbani ikinisubiri kunipa gud news kuwa wamenichagua kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Aliyekuwepo wamemtoa kwa sababu ya ulevi na kutokutumikia wananchi katika eneo lake la nyumba kumi. Naona sasa safari ya kuwa mbunge inaninyemelea.
Ila sheria inasemaje kwa mtu mpangaji kuwa mjumbe si ninaweza kupigwa notice at any moment nikapotea au nikahama kwa hiari yangu mwenyewe kutafuta nyumba au makazi ya bei rahisi?
Kwa hiyo ndugu wana jf naombeni pongezi zenu. Wazungu wanasema rome was not built at a day au safari ya hatua 1,000,000,000 ilianza na hatua 1.
Mjumbe wa nyumba kumi mikumi str.
hongera meku kanyi kicho otaramo
Ninavyofahamu mimi Mjumbe wa nyumba kumi ni wadhifa ambao uko kwenye muundo wa uongozi wa CCM na siyo kwenye muundo wa kiutawala wa Serikali. Nenda ukashike ufagio wa kusafisha uozo ambao umekithiri hadi viongozi wakuu wanakiri haradhani kwamba hawatakiwi kuulizwa kuhusu rushwa ndani ya chama. Unachangamoto kubwa mbele yako, hongera zako.
Takukuru wanataarifa za uchaguzi huu? Niangalizo tu
Mjumbe wa nyumba 10 chapa kazi usiwaangushe wazee wamekuona unasifa za uongozi.....kaa mkao wa kupokea kesi za wanandoa na mateja
Hongera sna Nguli hih ihihi unaishi mtaa gani vile nije kupanga??😛layball:
Sitowaangusha wazee wangu. Ila kesi za ndoa sasa hapo za mafumanizi nitaziweza kweli?
Asante sana Mikumi str.
Sitowaangusha wazee wangu. Ila kesi za ndoa sasa hapo za mafumanizi nitaziweza kweli?
Asante sana Mikumi str.