InawezekanajeHabari za Leo wakuu,
Binafsi nimechaguliwa kusoma course inaitwa food science pale sua kwa mwaka wa kwanza wa masomo 2021/2022.
Ila nimetamani kupata kujuzwa mengi kuhusu hii course katika kila nyanja kama ifuatavyo:-,
#Ugumu wake?
#fursa zake kimasoko katika ajira?
#kujiajiri kwake?
#faida zake kiujumla ?
Na kama kuna ushauri mwingine hata wa kuhama kozi pia tushauriane tu .Karibuni wakuu naombeni msaada wa ushauri na mawazo juu ya hili
Usime TBS anza kusema atakuwa baba LisheNzur kasome dogo unaweza kuajiriwa TBS na pia ina uwanja mpana viwandani kupata ajira
HahahahahaaaUsime TBS anza kusema atakuwa baba Lishe
UsimpotosheUsime TBS anza kusema atakuwa baba Lishe
Kapambane yote YanawezekanaHabari za Leo wakuu,
Binafsi nimechaguliwa kusoma course inaitwa food science pale sua kwa mwaka wa kwanza wa masomo 2021/2022.
Ila nimetamani kupata kujuzwa mengi kuhusu hii course katika kila nyanja kama ifuatavyo:-,
#Ugumu wake?
#fursa zake kimasoko katika ajira?
#kujiajiri kwake?
#faida zake kiujumla ?
Na kama kuna ushauri mwingine hata wa kuhama kozi pia tushauriane tu .Karibuni wakuu naombeni msaada wa ushauri na mawazo juu ya hili
kabisa mkuu nipo nao vijana hao chuoni wanapambana kwelikweli cha msingi aje asome aachane na u form sixUsimpotoshe
Food science haihusiani na baba lishe
Tofautisha Human Nutrition na Food Science
Food Science
Unaweza kuajiriwa viwanda vya vyakula, vinywaji, TBS, TMDA, sector ya kilimo, Mifugo na Uvuvi
Sikuichagua mi niliweka option nyingi ya kwanza ilikua animal science ya ya pili general agriculture iyo ilikua ya mwisho ya tano kuchagua nilitaka kubadili so kabla sijafanya inabd nijue ikoje kiutaalam zaidiUlipoichagua wewe ulijua utakuwa nani ??
Imetokea tu mkuu accidentallyInawezekanaje
Kutoshirikisha watu katika mipango then matokeo utake Ushauri zaidi ya KUPAMBANA HAKUNA PLAN INGINE
Haiusiki na vitu hivyo. Hiyo ni zaidi ya unavyoichukulia poa.Kasome mdogo wangu uje kutuchomea mbuzi za send-off (ndafu)
KAUMBA🙄🙄🙄Kama wadau walivyochangia hapo juu, ajira zake Ni viwandani huko TBS, PEPSI NK .....ILA NINGEKUWA MIMI NINGESOMA GENERAL AGRICULTURE AU AGRONOMY KWANI NAONA KAMA ZINA UWANJA MPANA NA WA UHAKIKA SANA. Ila Mimi hapo nilisoma kakozi Fulani hivi kapo hapohapo Siri yangu. Ukienda wasalimie dark City, mauki na kaumba na samaki samaki.
Karibu mkuu FST mwenzio hapaHabari za Leo wakuu,

KAUMBA🙄🙄🙄