Naftari Erasto
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 108
- 50
Nimechaguliwa kujiunga na kozi ya clinical officer Lindi lakini sijapewa tarehe ya kuripoti kwa anayejua tafadhali naomba msaada
Diploma huwezi pata kama amefauru masomo ya sayansi anaweza fanya diploma za afya,lakini kwa hiyo ya education sio rahisi aanze na technical certificate,kwenye guide book walitoa maelekezo.hilo janga limewakuta weng mm mdogo wang matokeo ya o'level hist c, engl c, maths d, motor vehicle mechanics d, liter d, kisw f na civcs f
pia ametumia chet cha nta level4 kwa kuomba diploma
ila ngoja j3 ntaenda kufatilia nacte niwaulize wametumia kigezo gan?
uliomba vyuo gan mkuu?Jamani naombeni msaada kuna dogo ana ufaulu huu civs -D , history-D geogr-C kiswahili...B english...B liter....C phys....F chemis ...D bilogy...C math- F lakini nilimjazia diploma level 6 in primary education ( pre service ) lakini hajachaguliwa tatizo ni nini ?
Siyo kozi ya clinical officer bali ni kozi ya Clinical Medicinie. HongeraNimechaguliwa kujiunga na kozi ya clinical officer Lindi lakini sijapewa tarehe ya kuripoti kwa anayejua tafadhali naomba msaada
Nimechaguliwa kujiunga na kozi ya clinical officer Lindi lakini sijapewa tarehe ya kuripoti kwa anayejua tafadhali naomba msaada
Nimechaguliwa kusoma diploma ya clinical medicine na matokeo yangu niNaomba unijulishe umechaguliwa kwa ngazi gani, na matokeo yako.
Usihofu nataka kulinganisha vitu fulani!
Sawa mkuuTupende kusema clinical medicine
Kama unampango wa kuishia diploma au barchelor ni bora usome medical laboratory au pharmaceutical science lakini kama una ndoto za kuja kujiendeleza na elimu ya juu zaidi nikimaanisha kuspecialize kasome clinical medicineIpi coz nzr ambazo nkisoma iko kwa soko
-Clinical medicine
-phamarceutical science
-medical lab science
Naomba msaada wenu
Jarbu kuwasiliana na chuo au hawana website ya chuo?Joining instraction lindi clincal offcer nntaipataj jamn