Nassy Muller
Member
- Sep 30, 2016
- 85
- 20
- Thread starter
- #21
Sawaaa shukran mkuuAnayekuambia computer science ni ya kichok hawez kufkilia ipende cs itakupa utajiri yeye ansoma kizi aliyoshauriwa na ndugu zakee
Sawaaa shukran mkuuAnayekuambia computer science ni ya kichok hawez kufkilia ipende cs itakupa utajiri yeye ansoma kizi aliyoshauriwa na ndugu zakee
Duuuh ww yan mpka Leo hukuwa unajua wanatoa degree ....wakat had gradut wakutisha mtaaaSasa wewe wa Malambo upo huko huko Arusha kuna kutuuliza kwenye mtandao?
Halafu Arusha Technical wameanza kutoa lini degree?
Hii program kama unaisoma bila ya kuwa na Malengo matokeo yake inazaa watu aina yako....computer science ya kchoko kichz......
Duh we jamaa sijui unatumia bange ya wapicomputer science ya kchoko kichz......
Sasa wewe wa Malambo upo huko huko Arusha kuna kutuuliza kwenye mtandao?
Halafu Arusha Technical wameanza kutoa lini degree?
TrueMwaka huu wameanzisha bachelor tatu Biomedical, Computer science and IT ukichanganya na ile ya civil. basi zinakuwa nne