Arusha Technical College (ATC) Special Thread

skull

Senior Member
Aug 18, 2016
157
104
Wana ATC tunasema Skills make the Difference, Huu utakuwa uzi special kwa alumni na Currently Students katika Chuo chetu Makini cha Ufundi Cha Arusha, Sambamba tunawakaribisha Wote wanaotaka kujiunga na walio na ndoto za kusoma Katika College hii,


Chuo cha Ufundi Arusha kilianzishwa mnamo mwaka 1978 Kikijulikana kama Technical College Of Arusha(TCA) Kikiwa na Course kadhaa Ambapo kipindi hicho Awards zilijulikana kama FTC yani Full Technian Certificate kwa sasa ni Ordinary Diploma Chuo chetu sambamba na Kubadilisha jina mnamo 2007 na kuwa Arusha Technical College Au ATC taasisi hii kwa sasa ni autonomous Institute na Imejipanua kwa Kudoa Diploma Zifuatazo
-Diploma in Electrical Engineering
-Diploma in Electrical and Biomedical engineering
-Diploma in Electronics and Telecommunication
-Diploma in Civil and irrigation
-Diploma in Civl engineering
-Diploma in Auto Electrical
-Diploma in Mechanical engineering
-Diploma in Automotive engineering
-Diploma in Laboratory science
-Diploma in Information Technology

Chuo cha Ufundi Arusha pia kinatoa Bachelor Degree kadhaa (BEng)
-Beng in Civil and irrigation
-Beng in Electrical and biomedical
-Beng in Computer Science
-Beng in Information Technology

Chuo Cha ufundi Arusha Pia kinatambua Mchango wa Mafundi wa Daraja la Chini Artisans na Kinatoa karibia Course zote zinazofundishwa na VETA

Sambamba na Hilo ATC pia ina mradi Wa kuzalisha umeme kwa maji (Hydro) Uliopo kikuletwa Na Hapo Hapo kuna Branch la chuo ambapo course za Hydroelectric Power station hufundishwa.
 
Dah!

Nimejikuta nawakumbuka Mbosoli, Sambayuka, Belela, Mollel, Mwamafupa, Mama Hakika, Lyaro, Muro... na zaidi zaidi mzee Lugundi na Last Year!!

Idumu TCA

Sijui Anti bado yupo pale?
 
Mkuu vipi kuhusu Pipe works,oil and gas engineering ( DIPLOMA LEVEL) inapatikana hapo ATC?.
 
Dah!

Nimejikuta nawakumbuka Mbosoli, Sambayuka, Belela, Mollel, Mwamafupa, Mama Hakika, Lyaro, Muro... na zaidi zaidi mzee Lugundi na Last Year!!

Idumu TCA

Sijui Anti bado yupo pale?
Mwaka jana nilikutana na third year maeneo ya Kwamorombo, ndiye aliyenikumbusha jina lake,
 
Shukwani mkuu, lakini kwenye oas wameonesha hiyo course.
Haipo mkuu
Naona kwenye tangazo lao wameweka hiyo kozi mkuu,
upload_2017-6-12_21-59-22.png
 
eti ni kweli kuwa mwaka wa pili wanafungua chuo novemba kuna dogo mmoja sijamwelewa anasoma hapo
 
Back
Top Bottom