Nimechaguliwa Arusha Technical College naomba muongozo

Nassy Muller

Member
Sep 30, 2016
85
20
Wakuu mm leo nimepata Taarifa kuwa nimechaguliwa chuoni hapo kusoma Computer science Bachelor round hii ya 4 ila chuo kimefunguliwa tokea trh 24 oct na masomo wameanza leo kutokana ratiba inavyo semaa....Naomba kuuliza walioko chuon nipen utartibu upoje uko chuo...na vp mkopo tyr ushafika Nataka nije Kuripotiii
d87cc07e9e9fdcff17482a2ff65ce629.jpg
 
Sasa wewe wa Malambo upo huko huko Arusha kuna kutuuliza kwenye mtandao?
Halafu Arusha Technical wameanza kutoa lini degree?
Mbona upo Nyumaa ivoo.....Kwan kukaa Karibu na Mahakama ndo kujuaa Sheria zote...kwel upo Outdated Hujui Kuwa ATC Wanatoa Degree ckuiz.....ingekuwa ivoo Bac Tcu wajinga kunipangia Apoo??
 
Anayekuambia computer science ni ya kichok hawez kufkilia ipende cs itakupa utajiri yeye ansoma kizi aliyoshauriwa na ndugu zakee
 
Back
Top Bottom