Wakuu kunavitu huku vinachekesha kama co kununisha wadau
Tcu walisema mwisho wa kuapply 3rd round ni 14/10/2015
Vijana wameapply,ila juz kati udsm wakatoa majina ya waliopata chuo wakiwemo 3rd round humu ndan yake,utata unakuja hivi
Kuna kamanda mmoja naye alichaguwa udsm,na profile yake kwenye slot ya udsm ikaandika zero (0), kucheki jina lake kwenye majina ya wanafunz wa udsm hayupo,
Akaona co kec,wacha aitoe hyo slot aweke slot nyingine ya chuo kingine, kiukweli akafanikiwa kuiremove, kimbembe kinaamka kwamba tcu haitaki yy amake 3rd round tena,akimake 3rd round inampeleka kwenye machaguo yake manne yaliyobaki
Anajiuliza ndio kwamba 14/10 maombi hayapokelewi au 15/10 ndio huwa maombi hayapokele,kijana kapanic