Nimechagua open BBA

Nimechagua open BBA

Tofauti ni ipi kati ya anayegraduate open university na yule wa university za kawaida
 
Umenivutia mkuu nimetamani kurudi chuo

Mimi ni wale wahitimu wa sanaa tuliopigwa ban na KAIRUKI

nataka kuchange gia angani nielekeze namna ya kujidahili
 
OK.. Vp kwa nn umechagua accounting mkuu? Labda unaweza ukanibadili mawazo na mimi nije kona hiyo [emoji1] [emoji1]
Nilikua na lengo hilo pia Ni mechek prospectus ya chuo nimegundua ina mambo mengi nayo hitaji ambayo kwenye finance hayapo kama auditing na taxes
 
Nilikua na lengo hilo pia Ni mechek prospectus ya chuo nimegundua ina mambo mengi nayo hitaji ambayo kwenye finance hayapo kama auditing na taxes
Mbona sijaiona prospectus ya 2017/18 kwenye website yao, naona ya 2016/17
 
Nauliza ndugu zangu
Hivi kwa anauetaka kufanya hapo open university mwaka huu (degree) wameshaanza kufanya application.....?
 
Back
Top Bottom