baba bora
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,500
- 1,093
Salamu Kwako. Baada ya kuchepuka Kwenda chuo Ni meamua kurudii mwaka huu Kusoma business administration accounting Open university. Kwanini open university? Kwasababu kuna shughuli za kimaisha nafanya nimeonelea open university itakuwa Ni rahisi kwangu ku balance muda. Lengo la uzi huu kwa yoyote Anae soma aliye soma ama anaye kijua chuo cha open anipe ABC za chuo Hiki huria changamoto zake na namna ya kuzikabili. Na mengine mengi Asante kwa ushirikiano wako