Nimechagua kilicho bora!

Nimechagua kilicho bora!

The Winner

Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
34
Reaction score
3
Hi!JF, mimi binafs nimevutiwa na mijadala yenu na ushauri mnaowapa wenye mattzo hapa jf,nimefurah kuingia humu kwn najua nitafaidika na mengi kutoka kwenu,naomben mnipokee jaman!

Thnx.
 
Karibu the winner jisikie upo chumbani kwa baba na mama.
 
Yakhee kharibuu kuna tende na kharua! Hapa ukiingia mwenyeweee utazitosa fb, twitter,nk!
 
Back
Top Bottom