Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,168
- 4,775
Kawaida tu ukiwa huna hela lazima uwe mpenzi mtazamaji tu
Bila shaka wewe utakuwa nguli kwenye Saikolojia ya mahaba basi,Ili nijue ni yeye hayataki mahusiano au mahusiano ndio hayamtaki.
😂😂😂😂Kama maradona😂😂Angalia usije zidisha magoli ya mkono mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3]Weka picha yako tuone kwanza.
Wacha weeh.Focus kwenye life lako ni uchaguzi mzuri na ndicho kilichobakia.
Mapenzi huwezani nayo achana nayo.
[emoji3][emoji3][emoji3] khaah mommy bhan lolIli nijue ni yeye hayataki mahusiano au mahusiano ndio hayamtaki.
[emoji3516]Wana JF, kama title hapo juu inavyosema, yaani kiukweli, sijui tatizo hili ni kwa sababu ya ugumu wa maisha au ni aina ya mapenzi ya sasa, yaani sielewi nimekuwa nipo single kwa muda sasa, kiukweli mzuka wa kudate na mtoto wa mtu sina, hasa nikiangalia date za sasa zilivyo mbovuu, zipo kimaslahi zaidi, nimechafukwaa kabisa sina hamu nayo na hadi girlfriend wangu nimemshit yaan sina time kabisaa...busy busy with life... focus on my life ...
Najua siko peke yangu ,
Uzi huoooooooooo
Najua siko peke yangu
Mapenzi basi kivipi, wakati una mtu tayari?Hata mimi mapenzi basi maana huyu mrembo niliyenae amezidi kunipenda. View attachment 1712553