Nimechacha!

Nimechacha!

Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
1,600
Reaction score
1,089
Unapokuwa umeishiwa....
 

Attachments

  • WIKIENDI 1.jpg
    WIKIENDI 1.jpg
    51.2 KB · Views: 172
Ukimaliza kusoma magazeti ya zamani unaanza kudangaya watoto mimi zamani hivi mimi zamani vile
 
halafu utakuta mzee ananza fix zake mi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani na hii ni kwa wazee wote sasa sijui nani alikuwa anakuwa wa mwisho.au kipindi hicho namba ilikuwa moja.
 
nimeipenda hii kama inanihusu vile.... ila kwenye wa kwanza MIMI ILIKUWA NI UKWELI.
 
wazee wa zamani wengi wao ni fix mwanzo mwisho
atawasikia wakisema walikuwa na akili darasani, hawakufeli wakati maisha wanayoishi yanaonesha hata shule hawakukanyaga hata kwa bahati mbaya
 
mwenye nikiwa sina kitu ndo utaniona na hiyo tv la sivyo, home sipatikani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom