Aksante kwa kutujuza kama unamiliki GARI.
Kuna rafiki yangu huwa ananiazima gari kwenda kwenye shughuli zake.
Lakini kama mwezi umepita gari ilikuwa haifungi boneti, nikamwambia hawezi kutembeza kwani boneti haifungi. Akaniambia haina tatizo atatengeza tu kwani tatizo dogo. Sasa jana karudi bneti imefunguka akiwa anaendesha ikagonga kioo cha mbele na show yake ya mbele kwenye boneti imetoka na haijulikani ipo wapi. Nilimuuliza kama alitengeneza akasema alikuwa bado hajatengeneza. Hapo nilikasirika sana gari ipo nyang'a nyang'a. Alichoniambia ni kuwa yaani unajali gari kuliko uzima wangu? Na hapo hana hela ya kutengeneza., sijamjibu kitu na mpaka sasa sitaki hata kumwona.
mmmmh, hiyo gari ulipewa au ulinunua??
Kuazimana magari??? Never!
Pole lakini!
Sasa haujamjibu kitu ndio itatengeneza gari lako? kwani si umwambie atengeneze na uchukue kitu chake chenye thamani kama dhamana mpaka atengeze?Kuna rafiki yangu huwa ananiazima gari kwenda kwenye shughuli zake.
Lakini kama mwezi umepita gari ilikuwa haifungi boneti, nikamwambia hawezi kutembeza kwani boneti haifungi. Akaniambia haina tatizo atatengeza tu kwani tatizo dogo. Sasa jana karudi bneti imefunguka akiwa anaendesha ikagonga kioo cha mbele na show yake ya mbele kwenye boneti imetoka na haijulikani ipo wapi. Nilimuuliza kama alitengeneza akasema alikuwa bado hajatengeneza. Hapo nilikasirika sana gari ipo nyang'a nyang'a. Alichoniambia ni kuwa yaani unajali gari kuliko uzima wangu? Na hapo hana hela ya kutengeneza., sijamjibu kitu na mpaka sasa sitaki hata kumwona.
kuazimana magari ni kitu cha kawaida kama wote mnamiliki gari/magari, lkn kama mmoja hana alafu anaazima hapo ndiyo huwa noma.
hahahahaaah!! Mpe pole basi.Aksante kwa kutujuza kama unamiliki GARI.
Ni makosa sana kuwaazima watu vitu
ambavyo hawawezi ku 'afford' wao wenyewe
ni makosa....
muazime mtu gari kama na yeye analo lake
mtu hata baiskeli hana
we unamuazima gari
anaendesha kwa fujo,analiharibu
ni makosa....
Naomba uniazime kamera yako
Uswahili mzigo, kha!