Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 13,847
- 20,259
KabisaUnajua kinachowafanya baadhi ya watu wasiamini ni umuhimu wa hawa watu Na desturi ilivyokuwa. Lakin mbele ya jiwe? Hakuna sehem aliona ya muhimu kabisa. Doctar kukosa kazi ni aibu sana kama taifa.