Nimebambikiwa mimba, Mwanamke hataki nimuone mtoto

Nimebambikiwa mimba, Mwanamke hataki nimuone mtoto

baada ya dirty s e x, leo mimba mamluki?! Yangu majicho.
 
kama unaamini umebambikiwa mtoto unataka kumwona ili iweje? Ufanye DNA test ya macho?
 
kwa nini ubambikiwe wewe na si mwingne? Umebambikiwa na dada ambae hujawah kusex nae?
 
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kweli umepata mshtuko labda ukirudi utaandika kwa urefu zaidi
 
ImageUploadedByJamiiForums1406048300.634581.jpg
 
Kwa papara hizi utabambikiwa vingi tu!
 
Jifanye baunsa tanguliza kifua kama cha panzi
ukakute baba kambeba mtoto wake...utatepeta!!!
 
Back
Top Bottom