Nimebakwa na wanawake watatu

Nilikua uchi kitandani kwao ndio.
 
UTATA WA BWANA YULE
 
Naisikitia familia yako....ikiwa wewe ndio baba na kichwa cha familia basi familia yako imeshapoteza muelekeo......
Mkuu jana nilishinda sebleni nikizuga naangalia TV, nikiwahoji maswali kadhaa leo tunaenda kupima ngoma kwanza maana hapo ndo nachoka kabisa kama hawajaadhirika ndio ntakua katika amani na nafasi nzuri ya kuwaadhibu ipasavyo.
 

Mkuu usilete ubishi, kama ungekuwa walao umesoma masomo ya sayansi wala usinge
leta ubishi, hivi unawezaje ku equate kupoteza fahamu na usingizi hivi ni vitu viwili tofauti,ukiwa usingizi mtu senses zote zina endelea kufanya kazi hisipo kuwa sense ya kuona - ukiwa usingizini mtu akikufinya utahamuka, kukitokea kelele utahamuka nk lakini ukiwa umepoteza fahamu sense zote zinakuwa shut down including sexual arousal - uwezi kabisa ku recall kilicho tokea - mtu anaweza kupoteza fahamu akabaki hivyo hivyo kwa wiki, miezi wakati mpaka miaka kabla fahamu azijamrudia - je, kuna binadamu analala wiki nzima kabla hajahamka?
 
Mkuu jana nilishinda sebleni nikizuga naangalia TV, nikiwahoji maswali kadhaa leo tunaenda kupima ngoma kwanza maana hapo ndo nachoka kabisa kama hawajaadhirika ndio ntakua katika amani na nafasi nzuri ya kuwaadhibu ipasavyo.

Wewe ni mwanaume lakini bado hujakomaa kuwa baba......

Kuwa baba ni zaidi ya kuwa na uwezo wa kumpa mwanamke mimba......

Unatakiwa ubadilike.....wacha mazoea ya kijinga na watu wajinga wajinga.....kumbuka kuwa hatima za watu kadhaa zipo nyuma yako.....hivyo anguko lako kama mhimili wao ni anguko lao pia.......

Be a man......
 
Huo ni uongo uliotukuka kama ulizima na dude nalo lilizima ila utakua ulijizimisha
 
mkuu big gift yule mama wa kazi(your temporary boss lady) ambae ulisoma na mwanae mshamalizana?,mbona mikasa yako yote imeegema kwenye ngono tu,una mwanamke kweli wewe?maana mtoto wa kiume ila unapenda sana kutongozwa...acha tabia hizo,zitakuathiri...afu utaanza kulalamika serikali imezuia vilainishi(lubricants)
 
Mkuu kila mtu ana mapito yake ila tuu tambua mimi niko stable na familia yangu iko poa. Yule mama nampiga kalenda bado maana bado nafsi yangu haijawa huru.
 
Je, Dokta alithibitisha mbegu za kike kwenye uume wako ili tujue kweli ulibakwa na sio kulawitiwa??
 
Huyu jamaa ni muongo maelezo yake hayajajitosheleza kukamilisha uongo wake inaa maana walikuwekea dawa ya kusimamisha uume au?...

Na kama hawakukuwekea ilikuwaje uume wako ukaingia kwao maana ikiwa imelala kuingia ni vigumu kwa sababu ni muscle in nature haina mfupa,

Mwanaume kubakwa si rahisi, labda useme walikushika shika ukaamsha hisia
Na wakati huo ulikuwa unajitambua vizuri tu
 
HAHAHAHA WE JAMAA!!! AU NI NDOTONI? MAANA STORY YENYEWE HAINA UHALISIA HII πŸ™‚πŸ˜ŽπŸ˜•πŸ˜±
 
Hapo naona umechanganya na ile tunaita Nusu Kaputi inayotumika Hospital kabla ya upasuaji ambayo inakuwa na Ganzi, "mpwa wangu alipotahiriwa alikuwa akilia sana kutokana na maumivu baada ya ganzi kuisha sasa mimi kuona hivyo na ikizingatiwa yeye mwenyewe(Mama wa Mtoto) ni Muuguzi nikamuuliza kwa nini usimpe dawa ya usingizi alale?akanijibu wazo zuri, akachukua kidonge kimoja akampa mtoto hakulala kama nilivyotarajia, alilegea tu". Kuhusu Biology nimesoma tena nilikuwa na ndoto ya kuwa Daktari Bingwa wa Upasuaji, sasa wewe unaejua endelea kusema mtu akipewa dawa za usingizi sense zote zinakata.
 
Hivi mtu akizima jogoo hawezi kuamka, never thought about it. Mbona ukilala usingizi ukishtuka usiku wa manane kitu kipo 'stand up'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…