Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

Kaka mtu kasema hata yy ni mwanaume hawezi kukubaliana na mke wake kuzaa nje ya ndoa ni bora angefanya mapenzi tu kama kweli alikua amezidiwa ikaisha lkn sio kuzaa nje hiyo ni dharau akanambia nimpeleke kwao

Mama mkwe yy anamtetea mtoto wake ananiuliza wakati anazaa nje wewe ulikua wapi nikakata cmu sikutaka kuendelea kumsikiliza
Tatizo jingine huyu wife analazimisha kua ataondoka ila lazima aondoke na watoto wake wote,
Braza inaonekana wewe mpole sana aisee
 
Naomba niende kwenye mada, mm na mke wangu tulioana mwaka 2015 japo tulianza mahusiano muda mrefu kidogo na mtoto wetu wa kwanza tulimpata mwaka 2013, na wapili mwaka 2018.

Nilihamishwa kikazi kutoka dar kwenda moja wapo ya mikoa ya kanda ya ziwa, hiyo ilikua mwaka 2019 ikabidi wife na watoto wabaki huko mkoa jirani na dasalamu yaliko makazi yetu ya kudumu.

Sababu ya kuibakiza familia huko ni kwamba first born wetu alikua anasoma na ukizingatia huku nilikohamia bado sijajiimarisha vyema.
Nilikua naenda kuwatembelea mara kwa mara na wao pia niliwapa fursa ya kua wanakuja ninakofanyia kazi mara tu shule zilipokua zikifungwa. Nilipanga kuihamisha familia yangu kuja kuishi na mm mara baada ya kukamilisha taratibu za kumhamisha binti yangu kipenzi na pia kumpata mtu sahihi atakaeishi kwenye nyumba yangu.

Mwaka Jana mwanzoni mwa mwezi wa sita mke wangu alinipigia cmu akanieleza kwamba anataka kuhamia huku niliko hivyo nianze taratibu za uhamisho, nami bila kufanya hiana nikaanza hatakati za kupata nafasi ktk shule nzuri za private ktk mkoa huu baada ya shule kufungwa wife na watoto wetu wawili wakatia nanga dogo akaenda akapiga paper akafaulu akapata nafasi hiyo ni mwezi wa saba 2021.

Maisha yakaendelea, mwezi wa nane wife akanambia ana mimba, tukaenda kuhakiki kweli nikadhibitisha ni mjamzito sikutaka kuhangaika na mambo ya mimba ina muda gani
Harakati za CLINIC zikaanza tukaenda tukacheki afya wote tupo sawa japo wife alinihofia Sana kua yawezekana nimeshakanyaga waya
Ilipofika mwezi wa 12 wife akaanza kunambia UNAJUA SIKU HIZI MAMBO YAMEBADILIKA SANA MJAMZITO ANAWEZA KUJIFUNGUA HATA MIEZI TISA HAIJATIMIA, mm nikawanamuuliza hayo mabadiliko yameanzia kwako au ni kwa wajawazito wote na je hiyo ni sayansi ya wapi huku nikimtania kua mbona hiyo mimba yako nikipiga hesabu ulivyofika hapa na jinsi inavyoonekana ni tofauti, (mimba ilionekana kubwa)

Ukweli ni kwamba wife alifika huku ninakoishi mwezi wa saba Kati ya tarehe 15 hadi 23 mwezi wa saba
Kwa haraka haraka kama ni mimba niliipigia hesabu za mwezi wa nane na kama nikujifungua basi itakua mwezi wa nne katikati au mwishoni kabisa
Kilichonishtua ni mke wangu KUJIFUNGUA tarehe za mwisho wa mwezi wa pili huku mimba ikiwa imemchosa Sana (mtoto wa kiume,ambae Sasa ni mtoto wetu wa 3)

Kilichoanza kunishtua wife anakomalia mtoto apewe jina W na mm nasema kama mm ndie baba wa huyo mtoto basi ataitwa jina Q, tukaendelea kutana Sana na ikumbukwe mm nashinda Sana kazini hivyo hata wakubwa zake wakawa wanamuita jina hilo analolitaka mama yao ikabidi niwapige marufuku kumuita mdogo wao jina hilo na hadi fimbo zilitimika ndio kwa mbaali wakapunguza.

Jina hili limeendelea kuitwa na kitajwa na waumini wenzake na wife hata wakija kumtembelea utasikia wanamuita jina hilo mm nakausha naamua kusepa zangu naenda kumwagilia moyo

Ikabidi nikae na wife nimuulize kinagaubaga juu ya kweli wa mimba kujifungua jina pamoja na mtoto kutokuonyesha dalili za kuwafanana wakubwa zake Wala mm Wala yy mwenyewe, wife hakusema kitu japo alionekana kuna jambo anaficha
Niliendelea kumuuliza pasipo kumpiga Wala kuhombana ndipo wife alipoamua kunichana ukweli huku akimsingizia shetani na kunilaumu mm kua nilikua mbali nae akateleza mara moja akafanya ndo ikawaimetokea hivyo, nikatulia sikumshirikisha mtu mwingine hata kidogo maisha yakaendelea lkn moyoni naumia Sana,
Na kadri siku zinavyozidi kwenda nakosa uvumilivu ukizingatia natumia kilevi hua na kua na mawazo mengi Sana nikifikiria kuilea damu isiyokua yangu.

Hakika kwa umri wangu huu wa chini ya miaka 35, jamani mm hili jambo limenishinda kabisa naona sitaweza kulibeba.

Jana nimemweleza kaka yake mkubwa pamoja na mama yake kua mm uzalendo umenishinda nisijefanya maamuzi mengine yakagharimu pande zote mbili nimeomba mke arudi kwao au aende kwa huyo aliezaa nae mm aniache nilee watoto wangu wawili
Naombeni USHAURI WENU wadu mwenzenu Niko dilemma

NB; matusi nisingependelea kuyaona
Shikilia hiyo hyo kuwa aende kwao
 
Kaka mtu kasema hata yy ni mwanaume hawezi kukubaliana na mke wake kuzaa nje ya ndoa ni bora angefanya mapenzi tu kama kweli alikua amezidiwa ikaisha lkn sio kuzaa nje hiyo ni dharau akanambia nimpeleke kwao

Mama mkwe yy anamtetea mtoto wake ananiuliza wakati anazaa nje wewe ulikua wapi nikakata cmu sikutaka kuendelea kumsikiliza
Tatizo jingine huyu wife analazimisha kua ataondoka ila lazima aondoke na watoto wake wote,
Kuna mbwa mtaani kwetu anaitwa Foxy kwasababu anatiwa hovyo hovyo na madume tofauti tofauti na kuzaa hovyo hovyo. Huyo mkeo ni foxy aseee kuishi na mwanamke anayethubutu kuvua chuppppi kupanua miguu kuacha Qumma yake wazi kwa mwanaume nje na mumewe kisha akamruhusu kwa kumwambia we tOmBar tu kojolea shahawa ndani humohumo ,mimba ikatungwa anakuja kutaka kukubambikia mtoto na baada ya kubananishwa sana anaamua kukiri!! Hell NO!

Aende kwa huyo aliyemzalisha Qumamamamamamamamaaaaaaaqe zake
 
Sina tatizo na hilo isipokua naweza sema acha nilee nisomeshe na ili ndugu zake wasigundue lazima na yy aende private school kama wao, kama ulivyosema wanakuaga na vipaji, kesho mke wangu atanigeuka na kumweleza mtoto ukweli kuhusu mm na kingine kama nilivyosema hapo awali nina miaka 31 nahitaji kurudi shule kuongeza elimu na mke wangu atatakiwa kurudi kule nyumbani kwetu yaani kwenye makazi yetu ya kudumu akiwa na watoto huoni kwamba ataendelea na mawasiliano na yule mwanaume kama alishindwa kuvumilia miezi miwili ataweza kuvumilia miezi minnee plus na kwa miaka mitatu
Huoni naweza kuja kujikuta nimeua ndugu yangu
We're mamb ya private school acha wenge sepesha mke huyu vinginevyo unatuchora tu hap
 
Kuna mbwa mtaani kwetu anaitwa Foxy kwasababu anatiwa hovyo hovyo na madume tofauti tofauti na kuzaa hovyo hovyo. Huyo mkeo ni foxy aseee kuishi na mwanamke anayethubutu kuvua chuppppi kupanua miguu kuacha Qumma yake wazi kwa mwanaume nje na mumewe kisha akamruhusu kwa kumwambia we tOmBar tu kojolea shahawa ndani humohumo ,mimba ikatungwa anakuja kutaka kukubambikia mtoto na baada ya kubananishwa sana anaamua kukiri!! Hell NO!

Aende kwa huyo aliyemzalisha Qumamamamamamamamaaaaaaaqe zake
Kabisa yaani alidhamiria maana kitendo Cca kumbambikia mimba mumewe na kuanza kujiwahi kuwa mimba za siki hizi hazifikishi miezi tisa ni Kama uhaini.
 
Wataalamu munisaidie ku attach Uzi wangu usemao "Hakuna ndoa ambayo mume na mke wanaishi sehemu tofauti "
Ndoa yenu ilivunjwa na kazi.
Kila siku nasema usikubali kukaa mbali na mke wako hata kwa miezi 2.
Na wanaume hata wakikaa wiki 2 tu inatosha kusaliti wake zao
Sema wavulana sio wanaume. Halafu ujue kutomberrr tomberrrr hovyo hovyo sio sifa sema huwa tunajitoa ufahamu tu
 
Ukijua tu Saikolojia ya Mwanamke yoyote kuwa hawezi Kukuvumilia pale ukiwa mbali na kwamba hata Wao ni Binadamu na wana Nyege na kuhitaji Kutiwa wala huwezi Kuhangaika nae au Kuhoji kama Mimba uliyomkuta nayo ni yake au yangu Mimi Msela ( Bachela wa Kudumu ) GENTAMYCINE, ila utavumilia na Kufa na Tai Shingoni ili Maisha mengine yaendelee.
Ukikomaa na kuweza kuutawala mwili wako inawezekana kabisa. Yaani miezi miwili tu akashindwa kwa mwanamke huu muda ni mfupi mno, hivi navyoandika nina miaka 2 pasipo kuliwa namsubiri mwenye nayo, sio rahisi hata kidogo, ni kuikana nafsi na kutawala matamanio ya kimwili tu.
 
Ukikomaa na kuweza kuutawala mwili wako inawezekana kabisa,, Yani miezi miwili tu akashindwa kwa mwanamke huu muda ni mfupi mno,, hivi navyoandika nina miaka 2 pasipo kuliwa namsubiri mwenye nayo,, sio rahisi hata kidogo, ni kuikana nafsi na kutawala matamanio ya kimwili tu
Hakiyanani! Sio kutiwatiwa tuuuuu na kila mborlo utafikiri kicheche, chaaaaah!
 
Ipo siku atahitilafiana naye atamjibu nyodo halafu jamaa atazikusanya hasira zooote atamkaanga kwa gunia la mkaa.

Aende kwao au kwa huyo baba junia wake Malaya mmoja huyo!
Kiukweli ni aibu hata kudinda haitadinda waachane tu kwanza huyu kaka ni mtaratibu Sana, halafu umeona mama mkwe alichojibu kuna wamaza wangese sana, ndo wamama wanaoliwa na wakwe zao hawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom