Ni muhimu, mfano hiyo yako inavutia sana......lol!Hivi mbona watu mnajali sana haya mambo ya avatar...

Kwani ni muhimu?

Ni muhimu, mfano hiyo yako inavutia sana......lol!
Chonde chonde usiibadili tafadhali, nitakata rufaa kwa Mods....

hahahaha! Ahsante, kwahiyo nisiibadilishe?

Chonde chonde usiibadili tafadhali, nitakata rufaa kwa Mods....

Hivi mbona watu mnajali sana haya mambo ya avatar...

Kwani ni muhimu?
Asante.....

kwa heshma yako sibadili. Long live my avatar...
Chatu weye hubadili yako?hongera sana kwa kubadili Avatar
Yumm yummNimependa ya chinni...
Muhimu sana HusninyoHivi mbona watu mnajali sana haya mambo ya avatar...
Kwani ni muhimu?
Asante chatu dumehongera sana kwa kubadili Avatar
Shukran afrodenziNimependa ya chinni...
huenda ni kweli RaisiWaPembaWale waliosema akili za mtu zinaendana na avatar zao duh Sasa Mtu ndio anaamua kuchange mh! sasa hiyo chinni nadhani itapendwa na watu wengi
Asante mkuumkuu hii mpya inalipa