nimeanza weekend kwa MAMA KAMCHE...karibuni wana JF

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
...kichwa cha habari kinahusika!
 
apo utakuwa unapiga mdudu tu. Kisha huyoo unajsogeza calabash....then mzalendo pub....au sio?
 
afu mdudu sio mzuri kila siku
analeta kitambi ambacho utakosa mke
kitambi kinatokeza chini ya manyonyo afu sehemu za kitovu tumbo dogooo

afu mikono na miguu myembamba kama mpini wa jembe!
 
Hahahhaaa dogo usikute umeanza weekend kwa beer za bure maana we sikuamini...
Halafu usisahau kumpitia nanii utangulie nae kule mahali ntawakuta
 
apo utakuwa unapiga mdudu tu. Kisha huyoo unajsogeza calabash....then mzalendo pub....au sio?

kidogo unakaribia ukweli...yani leo nina NYEGE za mziki niaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…