RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,447
- 135,150
- Thread starter
- #421
Inategemea na intensity. Ukiruka kamba kwa intensity kubwa na anaekimbia at a slow pace obvious wa kamba atapoteza more weight.Kati ya kuruka kamba na jogging zoezi lipi linaongeza pumzi na kupunguza weight?
Ila hayo ndio mazoezi makuu ya kupunguza uzito.