Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Mkuu umenichekesha hapo kwenye "zoezi la kihindi"
Si unajua tena wahindi ni wazee wa evening walk...sasa na mie kila siku jioni nikitoka kwenye mishemishe natembea mdogo mdogo hata kilometre 6 ama 7 nikirudi nyumbani nafanya na zoezi langu la ku-squat na push - up zangu 3 ama 4 siku imepita
 
Jamani Miss Natafuta anatafuta mtu wa kukimbia nae maeneo ya old bagamoyo road,mbezi digital...!
 
Back
Top Bottom