Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,638
Leo ikiwa ni siku ya pili tangu nimeanza maisha ya kujitegemea mpka sasa sina ajira wala biashara inayoningizia kipato na hela nilionayo mfukoni ni laki mbili na nusu tuu
Nilikuwa nina laki tano nilitumia laki mbili na nusu kulipia kodi na kununua vitu vidogo vya ndani na chakula kidogo mpka sijui nini cha kufanya hivyo naombeni mawazo yenu ni jinsi gani naweza kupambana na haya maisha