Nimeanza kuvutiwa sana kimapenzi na wanawake "wachafuchafu"...

squirtinator

JF-Expert Member
Sep 20, 2015
2,765
4,174
Habari zenu.
Ni kwamba nilikuwa n tabia ya kupenda wadada wasafi fulani kimuonekana, yaani maduu.
Mwezi uliopita niliend kula kwa ama lishe, sijajua kilitokea nini. Kuna binti kimuonekano "mchafu mchafu" alikuwa anaosha vyombo. Nikaenda nawa mikono karibu na alipokuwaweo.
Mara paaaah, nikamtania na mwisho nikapata namba kiutani tu. Waa sikuwa n nia ya kumtongoza ila nilijikuta ndani ya siku mbili namtongoza. Nilifanikiwa kumgonga.
Nimemgonga mara kadhaa sasa. Ila kuna kitu naanza kuvutiwa na wadada wa type yake.
Sasa hivi kuna binti anauza juisi ya miwa, ananivutia kweli kama mwanamke, kuna dada mtembeza mboga ananivutia kweli, yupo mwingine muuza gengeni ananivutia kimapenzi kweli..
...Sijaju yule wa kwanza alinipa nini ila ana ule usilia kuanzia harufu na vuzi na nk...hawa wanawake ukiwaangalia ni kama "wachafu wachafu hivi" ila nimejìkuta nahamisha majeshi...
 
Huna lolote,Unawalia timing tu ***** ushawapangia mahesabu.

Wa kwanza atakung'arishia vyombo, utakunywa juisi ya miwa ya bure...utajipatia mboga mboga na kwa muuza genge utaendaga kukusanya tumihogo twa kutafuna asubuhi.

Shubaaaamiti.
 
Kwani kuku wa kienyeji na hawa wa dawa na booster si mnaona nyama na harufu tofauti? Ndio hawa wadada kila vipodozi, cream na aina zake K inaooooooshwa mpaka inakoza radha, vuuu linaoshwa na dawa ujinga tu acheni kitu kiive
 
Kuna kaukweli kabisa,halafu mama ntilie wanaletaga Wabinti Warembo naturally.Yaani mtoto unakuta mwili asilia papuchi iko natural siyo mara imewekewa Ndimu,mara mapafyumu.
 
Habari zenu.
Ni kwamba nilikuwa n tabia ya kupenda wadada wasafi fulani kimuonekana, yaani maduu.
Mwezi uliopita niliend kula kwa ama lishe, sijajua kilitokea nini. Kuna binti kimuonekano "mchafu mchafu" alikuwa anaosha vyombo. Nikaenda nawa mikono karibu na alipokuwaweo.
Mara paaaah, nikamtania na mwisho nikapata namba kiutani tu. Waa sikuwa n nia ya kumtongoza ila nilijikuta ndani ya siku mbili namtongoza. Nilifanikiwa kumgonga.
Nimemgonga mara kadhaa sasa. Ila kuna kitu naanza kuvutiwa na wadada wa type yake.
Sasa hivi kuna binti anauza juisi ya miwa, ananivutia kweli kama mwanamke, kuna dada mtembeza mboga ananivutia kweli, yupo mwingine muuza gengeni ananivutia kimapenzi kweli..
...Sijaju yule wa kwanza alinipa nini ila ana ule usilia kuanzia harufu na vuzi na nk...hawa wanawake ukiwaangalia ni kama "wachafu wachafu hivi" ila nimejìkuta nahamisha majeshi...
Huyo dada anyeyeuza juice ya miwa hata mie namtaman
tapatalk_1567092055673.jpeg
 
Back
Top Bottom