GE2025 Nimeanza kumuelewa Humphrey Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,946
Reaction score
38,656
Mdogo wangu mwenye akili nyingi Ndg Humphrey Polepole hongera sana.
  1. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wanashirikiana na watawala haramu kuifisadi nchi
  2. Uchaguzi Mkuu 2025 ni haramu na batili
  3. CCM inakataliwa na wananchi.
  4. Vyombo vya dola vinatumika kama majeshi binafsi ya wataeala
  5. Kikwete ni mzizi na chanzo cha matatizo haya tunayopitia akishirikiana na wanamtandao
  6. Wananchi wachukue hatua maana hawana mtetezi wala mkombozi zaidi ya umoja wao
  7. REFORMS na RECONCILIATION ni sasa. Wananchi wasihadaike na ahadi hewa
  8. Huduma duni za afya ni makusudi ya viongozi ili wafisadi kupitia maisha yetu.

Mungu akubariki sana.
 
Mdogo wangu mwenye akili nyingi Ndg Humphrey Polepole hongera sana.
  1. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wanashirikiana na watawala haramu kuifisadi nchi
  2. Uchaguzi Mkuu 2025 ni haramu na batili
  3. CCM inakataliwa na wananchi.
  4. Vyombo vya dola vinatumika kama majeshi binafsi ya wataeala
  5. Kikwete ni mzizi na chanzo cha matatizo haya tunayopitia akishirikiana na eanamtandao

Ukisikiliza mzee wa kubananga kwakeli unapagawa

Inakiwaje Zanzibar hakuna Malaria halafu bara ipo,na raisi wa Muungano anatoka Zanzibar,iweje akubali sehemu moja ya Muungano iwe salama na sehemu nyingine is iwe salama

Jibu ni kwamba kuna biashara ya madawa ya wakubwa waendelee kupiga hela
 
Wambura amepokea amri kutoka juu kwamba, POLISI hata wakiua raia wanaoonekana kufuatilia kesi ya Lissu hawatashtakiwa kwa mauaji.

Jiulize, haya madudu ya polisi yanatokea mbele ya Mahakama halafu CJ anaongea upupu kuwa wanazingatia haki.

Haya madudu yanatokea just hatua chache kutoka Tume ya Haki za Binadamu. Wao wamezama kuchambua hotuba za rais ili watoe taarifa za haki za binadamu kana kwamba wamefanya tafiti.

Kikinuka, Wananchi wataanza na polisi na wengine watafuata
 
Ukisikiliza mzee wa kubananga kwakeli unapagawa

Inakiwaje Zanzibar hakuna Malaria halafu bara ipo,na raisi wa Muungano anatoka Zanzibar,iweje akubali sehemu moja ya Muungano iwe salama na sehemu nyingine is iwe salama

Jibu ni kwamba kuna biashara ya madawa ya wakubwa waendelee kupiga hela
kweli zanzibar maleria imetokomezwa mwaka huu?
 
Mdogo wangu mwenye akili nyingi Ndg Humphrey Polepole hongera sana.
  1. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wanashirikiana na watawala haramu kuifisadi nchi
  2. Uchaguzi Mkuu 2025 ni haramu na batili
  3. CCM inakataliwa na wananchi.
  4. Vyombo vya dola vinatumika kama majeshi binafsi ya wataeala
  5. Kikwete ni mzizi na chanzo cha matatizo haya tunayopitia akishirikiana na eanamtandao
  6. Wananchi wachukue hatua maana hawana mtetezi wala mkombozi zaidi ya umoja wao
  7. REFORMS na RECONCILIATION ni sasa. Wananchi wasihadaike na ahadi hewa
  8. Huduma duni za afya ni makusudi ya viongozi ili wafisadi kupitia maisha yetu.

Mungu akubariki sana.
No.5
No 5
No 5.....
 
9. Wahuni siyo watu wazuri hata kidogo.
10. Wapenda nchi yao wamfuatilie na kumfahamu kwa kina yule Bonge nyanya Chivayo.
 
Ukisikiliza mzee wa kubananga kwakeli unapagawa

Inakiwaje Zanzibar hakuna Malaria halafu bara ipo,na raisi wa Muungano anatoka Zanzibar,iweje akubali sehemu moja ya Muungano iwe salama na sehemu nyingine is iwe salama

Jibu ni kwamba kuna biashara ya madawa ya wakubwa waendelee kupiga hela
Daa Ila mama anazingua
 
Daa Ila mama anazingua
Yani kuna mambo ukiyasikia wallah roho inakuuma

Tunatumia billions of money kununua Madawa wakati unaweza kutoa kama milioni Mia kuanzisha kiwanda cha dawa

Kuna mradi pale ruvu wa kuua vimelea vya mbu umekaa tu,lau ungetumiwa ipasavyo leo tungesahau Malaria

Na hata sasa tukiamua ndani ya miaka mitano ijayo tunasahu Malaria

POLE POLE ANAKWAMBIA MAAMUZI YAPO KWA MAMA AKISEMA TEKELEZA IMEISHA HIYO

Ngoja kwanza ninywe maji hasira zinanipanda
 
Ukisikiliza mzee wa kubananga kwakeli unapagawa

Inakiwaje Zanzibar hakuna Malaria halafu bara ipo,na raisi wa Muungano anatoka Zanzibar,iweje akubali sehemu moja ya Muungano iwe salama na sehemu nyingine is iwe salama

Jibu ni kwamba kuna biashara ya madawa ya wakubwa waendelee kupiga hela

we jamaa bana, kuna miaka mingi sana toka Zanzibar watokomeze maleria. acha mihemko kijana
 
Back
Top Bottom