GE2025 Nimeanza kumuelewa Humphrey Polepole

GE2025 Nimeanza kumuelewa Humphrey Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Zanzibar huduma za afya bure,why bara hakuna?

Jiwe alisema hii nchi ni tajir,kiukweli hatutumii tu rasimali za taifa vizur

Zanzibar Afya bure toka tupate uhuru, kabla ya hata muungano, Samia anahusikaje hapo?
 
Zanzibar Afya bure toka tupate uhuru, kabla ya hata muungano, Samia anahusikaje hapo?
Sikulijua hilo ingawa naona siku hizi pia wameanza kutoa chakula kwa wagnjwa

Hata kama ni hivyo,je Haifai huku bara kuwa na huduma ya bure?

Kipi kinachoshindskana? Hata kama watangulizi wake hawajafanya,je ni nini maana ya kuwa na awamu Mpya na uongozi mpya?
 
Kama anafanya yote hayo kwa manufaa ya wananchi na wala si maandalizi ya kuchumia tumbo lake, basi anastahi Tunzo ya amani na umojaa...
 
Mdogo wangu mwenye akili nyingi Ndg Humphrey Polepole hongera sana.
  1. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wanashirikiana na watawala haramu kuifisadi nchi
  2. Uchaguzi Mkuu 2025 ni haramu na batili
  3. CCM inakataliwa na wananchi.
  4. Vyombo vya dola vinatumika kama majeshi binafsi ya wataeala
  5. Kikwete ni mzizi na chanzo cha matatizo haya tunayopitia akishirikiana na wanamtandao
  6. Wananchi wachukue hatua maana hawana mtetezi wala mkombozi zaidi ya umoja wao
  7. REFORMS na RECONCILIATION ni sasa. Wananchi wasihadaike na ahadi hewa
  8. Huduma duni za afya ni makusudi ya viongozi ili wafisadi kupitia maisha yetu.

Mungu akubariki sana.
Na inavyooshesha mara baada ya uchaguzi,Samia yatamkuta ya Magufuli.Kama kweli alichosema Polepole kuwa Samia alitaka kumuondoa Nchimbi kwenye ugombea Mweza akatishwa akatishika.
 
Ukisikiliza mzee wa kubananga kwakeli unapagawa

Inakiwaje Zanzibar hakuna Malaria halafu bara ipo,na raisi wa Muungano anatoka Zanzibar,iweje akubali sehemu moja ya Muungano iwe salama na sehemu nyingine is iwe salama

Jibu ni kwamba kuna biashara ya madawa ya wakubwa waendelee kupiga hela
Walipandikiza mi umbu pale jangwani,mbu walizaliana kwa wingi sana. Nadhani ndio chanzo cha kuongezeka mambukizi mapya ya maralia.
 
Mdogo wangu mwenye akili nyingi Ndg Humphrey Polepole hongera sana.
  1. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wanashirikiana na watawala haramu kuifisadi nchi
  2. Uchaguzi Mkuu 2025 ni haramu na batili
  3. CCM inakataliwa na wananchi.
  4. Vyombo vya dola vinatumika kama majeshi binafsi ya wataeala
  5. Kikwete ni mzizi na chanzo cha matatizo haya tunayopitia akishirikiana na wanamtandao
  6. Wananchi wachukue hatua maana hawana mtetezi wala mkombozi zaidi ya umoja wao
  7. REFORMS na RECONCILIATION ni sasa. Wananchi wasihadaike na ahadi hewa
  8. Huduma duni za afya ni makusudi ya viongozi ili wafisadi kupitia maisha yetu.

Mungu akubariki sana.
1000227957.jpg
 
Hahaha alinishangaza kuwashauri ccm na mgombea asiye mtaka, aliyepatikana kimakosa, ambaye hakupaswa kuwa mgombea, ambaye kakiuka katiba, eti wahubiri haki kwenye kampeni haramu!?

Yani wakihubiri haki inawapa uhalali?
 
Back
Top Bottom