Kwa kweli nakubaliana kabisa na De Novo, hali ya nchi yetu inakatisha tamaa. Kila nikifikiri sipati jibu na sijui vizazi vijavyo itakuwaje. Elimu mbovu, biashara ni lazima uwe na mtaji mkubwa au utoe kitu kidogo ili usogee, hospitali ndio basi tena, polisi ukiwa na kesi ni lazima uwe na gari au hela ya petroli, ili mradi ni vurugu tu kila kona.
Kwa kweli na mimi nimekata tamaa. Naipenda kweli nchi yangu na sina mpango wa kuhama ila nachoka kabisa.
Kwa kweli na mimi nimekata tamaa. Naipenda kweli nchi yangu na sina mpango wa kuhama ila nachoka kabisa.