Ni kweli bht, do your part, thats all. Even Rome was not built in a day. Taratibu tutakuwa wengi tu wenye moyo na nchi hii. Ukiacha vacuum inajazwa na wageni toka EAC.

KWa miaka kama nane sasa napambana na kujifariji kwamba bongo inaaza kusimama, nikajipa moyo kwamba tutasonga mbele hasa baada ya slogan ya ari mpya nguvu mpya na kasi mpya
vilevile wamarekani na other first world wamejaribu sana kututengenezea mazingira ya ajira humuhumu nchini tena kwa kutushawishi kutokea makwao tulipokua "tunatafuta"
Nilipambana sana kwenye ile thread ya educated immigrants, bongo tambarare, etc. lakini naona kama gesi yangu inaisha
sioni dalili za nguvu za kusema kwamba tunasimika taratibu mpya za maisha na levels of efforts za watendaji wa serikali zinanivunja moyo!!!
Tuliahidiwa na "mtaalam JK tujiunge kwenye professional groups tupate platform --- trust me, hali ni ileile!!! even the groups zilizopo zinaenda ki-Freemasons
Naanza kutamani tena kupiga maboksi, kuangalia elevators, kupita kwenye barabara safe na kuepuka hasira za daraja la kigamboni, nililoona mchoro kwaka 2007,
I AM LOSING HOPES DESPITE ALL MY INDIVIDUAL EFFORTS NA KUKESHA KUJIPENDEKEZA KUFANYA KAZI.... TENA HILO NDIO LIMENIMALIZA KABISA KWANI NDIO NAONEKANA MBAYA

bado tuna taizo kubwa sana kwenye mfumo wetu Mama kitu ambacho kimepelekea hata mifumo yetu ya kufikiri ilemae, mimi sijakata tamaa lakini nimeanza kuchoka. Sasa sijui kati ya kuchoka na kukata tamaa ni ipi mbaya,De Novo hauko peke yako, so you efforts are not in vain. Iko siku watu wataamka wengi na kudai haki zao, kumbuka ukoloni ulivoisha watu kama Nyerere na degree zao walipoteza kazi, kufungwa itakuwa sie tuko kwenye viyoyozi tu. Katika kila safari tazama kulia na kushoto lazima kuna wenzio hujauliza tu. Nikiangalia job application watu wanakuja toka filipino, EAC ndo usiseme na wanakaa wafanyekazi hapa. Mtaani viwanja wananunua kama njugu, haya ardhi, business opportunity zinazochukuliwa na foreigners so kwanini mie niwe second citizen uko ugenini?
De Novo bra hapa sijakuelewa kabisa, please clarification zaidivilevile wamarekani na other first world wamejaribu sana kututengenezea mazingira ya ajira humuhumu nchini
De Novo bra hapa sijakuelewa kabisa, please clarification zaidi
Dah!homeboy de novo umenitisha kiaina.umeitisha na projekti yangu pia
Ndugu yangu DeNovo pole sana....mbona utakata tamaa sana pale uchaguzi utakapoisha na nyuso /serikali ileile itakuwa madarakani,I mean no change at all!!!!!Anyway sikio la kufa halisikii dawa.Acha tujipigie mabox kuliko kujiumiza vichwa bure.