TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,844
- 11,208
KWa miaka kama nane sasa napambana na kujifariji kwamba bongo inaaza kusimama, nikajipa moyo kwamba tutasonga mbele hasa baada ya slogan ya ari mpya nguvu mpya na kasi mpya
vilevile wamarekani na other first world wamejaribu sana kututengenezea mazingira ya ajira humuhumu nchini tena kwa kutushawishi kutokea makwao tulipokua "tunatafuta"
Nilipambana sana kwenye ile thread ya educated immigrants, bongo tambarare, etc. lakini naona kama gesi yangu inaisha
sioni dalili za nguvu za kusema kwamba tunasimika taratibu mpya za maisha na levels of efforts za watendaji wa serikali zinanivunja moyo!!!
Tuliahidiwa na "mtaalam JK tujiunge kwenye professional groups tupate platform --- trust me, hali ni ileile!!! even the groups zilizopo zinaenda ki-Freemasons
Naanza kutamani tena kupiga maboksi, kuangalia elevators, kupita kwenye barabara safe na kuepuka hasira za daraja la kigamboni, nililoona mchoro kwaka 2007,
I AM LOSING HOPES DESPITE ALL MY INDIVIDUAL EFFORTS NA KUKESHA KUJIPENDEKEZA KUFANYA KAZI.... TENA HILO NDIO LIMENIMALIZA KABISA KWANI NDIO NAONEKANA MBAYA