Nimeanza kujifunza uchawi!!!


'i salute you...............am the one who wants to be with you master,to learn from you check PM so that you'll see my number,i want to join plz LIKUD and i hope i will learn so many things from you master,thanx a lot am waitin'
 
Last edited by a moderator:
To be honest this is among the bad wish spiritually, regardless of which denomination you worship! Personal wishes under free will are what somebody is granted......you better declare its a joke!
 
Mkuu nimeipenda sana idea yako!!!
Nitakutafuta ili na mimi nijifunze hiyo makitu!!!!!!!!!
 

Umekosa jambo la maana la kuleta humu?
 
LIKUD akileta feedback atakuambia uchawi ni mzuri
wakisha mrambisha madawa ili aone visivyoonekana kwa macho ya kawaida atalamba na zingne na zingne na mwisho unalambishwa ili uwe hamu ya kula nyama za watu.
Ticha wako mwenyewe hana nia nzur na wewe hivi mtu akufundishe sir zao afu wakuache tu hiv hiv usiwe mshirika wao et umekwenda kujifunza mh! Hii mpya
personal naomba uipake camera Dawa kwenye lens pale mbile uje na video kabisa nitajua umepona!!!
Na ukija na feedback hapa hii sio Jf itakuwa Fb lazma ukija hapa utakuwa na swala uchaw mzur, nyama za watu tamu n.k n.k ni vitamu/vizur
KWELI TATZO LA AJILA TZ NI JANGA NA HAWA AMBAO WANAKAZA HAWATAKI KUTOA MKOPO Yaan ndo uuuwiiiii!!
 
Last edited by a moderator:
Actually nita specialize kwenye necromancy..Kufufua misukule ni kitu kidogo sana katika uchawi!

Hii "necromancy" ni namna/ujuzi wa kuongea na waliotangulia kwenye haki sio?
Kama ni hivyo anza na Nyerere.

Internship utafanya wapi?

Jina lako linanichanganya kidogo, na wengine pia wanabishana humu. Hebu tupe kauli yako, He or She? (samahani kuuliza hili swali)
 
Ebu muulize kama ana dawa ya kuiba hela Bank bila ya kukuona.
 

endelea mkuu coz hata avatar yako inakuruhusu
 
Kama kuna uchafu sasa si uache kujifunza.Watu mna matatizo,yaani unajipeleka kwa Shetani mzima mzima,anawacheka kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…