Nimeanza kufikiri kumpigia kura Lissu

Nimeanza kufikiri kumpigia kura Lissu

Mkuu Hali sio Hali Kama wazee wangu ambao Wana kadi za kuanzia tanu ,Jana niliwatania juu ya ccm wakasema wamehama chama ,nilibaki kuchekea nikiangalia na umri wao mpaka mda huu Kila ninapo kumbuka nacheka ,ama kweli lissu unachokifanya mungu ndo anajua,maana wazee wangu ata wajapo kunisalimia Kati ya vitambulisho ambavyo utawakuta navyo moja hua ni kadi ya ccm
Kwakweli kunatumaini mtu anapata akimsikiliza
 
CCM Sasa hivi ina wafuasi Kama Lowassa 2015.Wanajaaa mkutanoni na sare lkn kura wanajua pa kupeleka.Jana Nimekaa kijiwe na Kiongozi wa jumuiya mmoja ya CCM ngazi ya kata,licha ya kuwa ye Ni CCM kindakindaki lkn namuona kwenye Urais yupo dilemma.Anasema anaanza kuzielewa sera za Lissu.
 
Tundu Lissu ni mlaghai wa kisiasa,
Anatumia maneno matamu kuwalaghai wananchi.
Niko sure anayoyaahidi ni hayatekelezeki almost. Hata akifanikiwa kuwa raisi yatampata ya Malawi.
Sasa huyo wenu anashindwa hata kulahai?
 
Kutokana na anavyojieleza na kunadi jinsi tutakavyokuwa baada ya uchaguzi nimevutiw kumpigia kura TL. Naombeni ushauri wenu wana CCM wenzangu
Kura yangu anayo Lissu, ingawa mwanzoni nilipanga kumpa Membe ila nitaongeza kwa Lissu na nimeshawaambia ndg zangu 4.

Sasa hivi nipo kwenye mchakato wa kumshawishi mama yangu na brother wangu aliyenitangulia kuzaliwa.

Ukiwa na akili timamu kabisa na ukajipa utulivu kufikiria kuhusu mazuri na mabaya ya CCM na hasa kwa awamu ya 5, kupigia kura CCM ni sawa kuidhulumu nafsi yako kuwa na furaha na amani kwa miaka mingine mitano.
 
Kutokana na anavyojieleza na kunadi jinsi tutakavyokuwa baada ya uchaguzi nimevutiwa kumpigia kura TL. Naombeni ushauri wenu wana CCM wenzangu

Maana Janeth mwenyewe atampigia kura Lisu, ww ni nani hadi usite kumpa Lisu kura yako?
 
Kujidanganya nalo ni jambo zuri sana. Huwa inasaidia kuongeza afya mwilini. Ili kiukweli huyo wenu ikulu ataishia kuisoma tu magazetini.

Hujasikia Magufuli kawaita wakurugenzi huko Dodoma ili kupanga mipango ya kuharibu uchaguzi?
 
Ndugu ina maana bado ulikua unafikiria kusomeshwa namba miaka mingine tena.Fanya maamuzi sasa. Mwananchi usiogope mabadiliko.
 
Vitu 2 nitakushauri Jane kama kaka yako au pengine baba yako mdogo au pengine baba yako (kutegemea na umri wangu)

1. Never ever kumcheka au kumdhikahi kilema. Hii iwe mwanzo na mwisho! Usiinue mdomo wako tena kumdhihaki kilema. Mbaya zaidi huyo unaemdhihaki hakuzaliwa na mapungufu ila kuna watu wabaya wamemsababishia hali hiyo tena ikiwa ni nje ya uwezo wake kujilinda.

2. usichukulie siasa kitu chepesi. Unaweza kuona umeshika dola, unaungwa mkono na tume ya uchaguzi na pengine ukahisi wananchi walio wengi watakuchagua. Usiseme ndani ya moyo wako na nje ya moyo wako kuwa 'fulani hatakaa ashike dola milele'. Jiepushe sana na huu usemi. Siasa huwa zinabadilika sana
Kama ana ubongo kichwani nasio uji atakua kakuelewa.kuna watu kwasababu ya viburi vya utawala na kuvembewa madaraka wanajionaga wamekamilika sana uku wakisahau usemi usemao ujafa ujaumbika.
 
Kutokana na anavyojieleza na kunadi jinsi tutakavyokuwa baada ya uchaguzi nimevutiwa kumpigia kura TL. Naombeni ushauri wenu wana CCM wenzangu
umechelewa kuamua please confirm it,atakuwa rais Bora baada ya nyerere
 
Kutokana na anavyojieleza na kunadi jinsi tutakavyokuwa baada ya uchaguzi nimevutiwa kumpigia kura TL. Naombeni ushauri wenu wana CCM wenzangu
Aisee upo sawa kabisa ccm imekuwa hovyo mno inaaibisha upo sahii watu wengi wsmeamua hivyo mwaka huu hali ya maisha imekuwa ngumu kupindukia watu wanajenga viwanja vya ndege majumbani kwao wakati watu hawana ajira.
 
umechelewa kuamua please confirm it,atakuwa rais Bora baada ya nyerere
Mimi sina itikadi ya Chama lakini kula yangu kwa LISU. Na nitafanya kila njia kimya kimya nimchangie 100,000/- kabla ya 28 Oct

....aliyepo sasa amevuruga Mfumo wa Uchumi na hivyo ili TRA wafikie malengo yao ya kukusanya kodi, wanawa bambikia Makampuni kodi nyingi kwa kisingizio kuwa miaka ya nyuma makadirio hayakuwa sawa.

Biashara nyingi zimekufa kwa sababu ya kuparanganyika kwa Mfumo wa Uchumi.
 
Kutokana na anavyojieleza na kunadi jinsi tutakavyokuwa baada ya uchaguzi nimevutiwa kumpigia kura TL. Naombeni ushauri wenu wana CCM wenzangu
Utaki kupanda ndege mkuu? Maana zinaongezwa 5 tena. Upendi kupanda train dar to mwanza masaa 6?
 
IMG-20200926-WA0003.jpg
 
Mimi sina itikadi ya Chama lakini kula yangu kwa LISU. Na nitafanya kila njia kimya kimya nimchangie 100,000/- kabla ya 28 Oct

....aliyepo sasa amevuruga Mfumo wa Uchumi na hivyo ili TRA wafikie malengo yao ya kukusanya kodi, wanawa bambikia Makampuni kodi nyingi kwa kisingizio kuwa miaka ya nyuma makadirio hayakuwa sawa.

Biashara nyingi zimekufa kwa sababu ya kuparanganyika kwa Mfumo wa Uchumi.
ni kweli ndugu maana tulipofika hajalishi umewekeza kiasi gani kwenye biashara mambo hayaendi matransporter wanalia bandari inacollapse,macrntractor wako chali,makampuni ya yalio wekeza kenye utafiti wa madini wameondoka,kilimo cha kibiasha na zao ya vyakula bei hazistimulate,Alifanya makosa makubwa kuondoa mzunguko wa wafedha mitaani huku akibadili sheria na taratibu za bishara mbalimbali,
 
Back
Top Bottom