Nimeanza kufikiri kumpigia kura Lissu

Nimeanza kufikiri kumpigia kura Lissu

Vitu 2 nitakushauri Jane kama kaka yako au pengine baba yako mdogo au pengine baba yako (kutegemea na umri wangu)

1. Never ever kumcheka au kumdhikahi kilema. Hii iwe mwanzo na mwisho! Usiinue mdomo wako tena kumdhihaki kilema. Mbaya zaidi huyo unaemdhihaki hakuzaliwa na mapungufu ila kuna watu wabaya wamemsababishia hali hiyo tena ikiwa ni nje ya uwezo wake kujilinda.

2. usichukulie siasa kitu chepesi. Unaweza kuona umeshika dola, unaungwa mkono na tume ya uchaguzi na pengine ukahisi wananchi walio wengi watakuchagua. Usiseme ndani ya moyo wako na nje ya moyo wako kuwa 'fulani hatakaa ashike dola milele'. Jiepushe sana na huu usemi. Siasa huwa zinabadilika sana
Hio ndio siasa.

Nyie mnasema kila mbinu inatumiwa haijalishi ni nzuri au mbaya.
 
Um
Mimi nimetongoza akina dada 5 wa UVCCM wenye kichinjio kwa lengo la kuwabadilisha wampingie TAL. Nimefanikiwa kwa 100%. Sasa hivi whatsaap wananitumia video za mikutano ya Lissu. Uchaguzi ukiisha nawapiga chini. Nataka nifikishe 20 huo ndio mchanga wangu kwa Lissu.
Umewapa pesa au?
Uvccm wana msimamo kama ni pesa yako italiwa na cha moto utakiona.
 
Kutokana na anavyojieleza na kunadi jinsi tutakavyokuwa baada ya uchaguzi nimevutiw kumpigia kura TL. Naombeni ushauri wenu wana CCM wenzangu
Mkuu Hali sio Hali Kama wazee wangu ambao Wana kadi za kuanzia tanu ,Jana niliwatania juu ya ccm wakasema wamehama chama ,nilibaki kuchekea nikiangalia na umri wao mpaka mda huu Kila ninapo kumbuka nacheka ,ama kweli lissu unachokifanya mungu ndo anajua,maana wazee wangu ata wajapo kunisalimia Kati ya vitambulisho ambavyo utawakuta navyo moja hua ni kadi ya ccm
 
Tundu Lissu ni mlaghai wa kisiasa,
Anatumia maneno matamu kuwalaghai wananchi.
Niko sure anayoyaahidi ni hayatekelezeki almost. Hata akifanikiwa kuwa raisi yatampata ya Malawi.
Hata kama anadanganya (naamini hadanganyi), hiyo ccm imedanganya kwa miaka 59 na unaona ni sawa tu?!
 
Mimi nimetongoza akina dada 5 wa UVCCM wenye kichinjio kwa lengo la kuwabadilisha wampingie TAL. Nimefanikiwa kwa 100%. Sasa hivi whatsaap wananitumia video za mikutano ya Lissu. Uchaguzi ukiisha nawapiga chini. Nataka nifikishe 20 huo ndio mchanga wangu kwa Lissu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu hiyo midoli ya UVCCM si ndiyo watakuwa wale wa kudanga pale Juliana Pub. Kwa maana ndiyo kazi pekee wanayoimudu vyema. ASHAUWO.
 
Kura sio siri
Mkuu kura ni siri

Ila kiukweli kuna wakati inakuwa sio siri tena

Maana kiukweli hali ya kiuchumi ni mbaya sana
Pale huko Ulaya na nchi za ulimwengu wa kwanza kwenye chaguzi zao wanalia na unemployment naona hilo liupepo limeshafika huku
Angalia Otes (mfumo wa kuomba ajira za walimu kupitia mtandao) utajua nazungumza nini.

Sasa kama sera (does not hold water) kwenye hilo eneo jiandae kisaikolojia
 
Back
Top Bottom