Poa.Nafanya biashara ya pesa mkuu. Kama zilivyo benki zote za biashara
riba zangu ni kwa siku 7 unaleta elfu 2 kwa kila elfu 10 unayochukua.
kuna wengine wanachukua kwa siku 3, 4 mpaka 5 lakini interest iko palepale.
View attachment 2160027
nakusanya hio hela kutoka kwa wakopaji wadogo wale wa teni teni every day.
Nashukuru Mungu mtaji umekua kwa kasi sana kutoka 100,000 mpaka sasa inagonga laki 6.
nakopesha wale ninaowajua kiundani.
nisiowajua wanaweka vitu bondi.
CHANGAMOTO
mpaka sasa changamoto yangu ni mtaji umepungua wakopaji wamekuwa wengi, tena wale LEGIT wanaoletwa na wateja WAKONGWE.
imagine kama jana kuna mmama kaletwa anataka laki 1, arudishe 120k leo.
nilishangaa sana lakn nilipouliza kiundani waliniambia wanaenda ku top up mkopo wao kwenye kikundi na huwa wanafanya hivyo ili WAPATE MIKOPO MARA 2.
Hii biashara inalipa ila inahitaji uwe mtu makini sana.
SIO KILA MTU NI WA KUKOPESHA
CHUNGUZA KABLA HUJAKOPESHA.
ULIZA ULIZA KWA WANAOMJUA
kokudo note something
Mpaka pale nitakapopata , hata nikiamua kukaa nayo miaka 10Kwa miaka mingapi?
Mpaka pale nitakapopata , hata nikiamua kukaa nayo miaka 10Kwa miaka mingapi?
Mpaka pale nitakapopata , hata nikiamua kukaa nayo miaka 10Fair sana, ila hujasema ni kwa muda gani hilo rejesho la mkopo.
Mimi wanakimbia nikiwaambia 20% riba kwa siku 14 hii ipoje kwakoThis week earning chat ndio hio.
watu wanakopa hadi kwa masaa tu wanarudisha hela ya wikiπππ
View attachment 2162071
Mkuu Get Rich nilikuwa nina wazo la kuanzisha biashara hii ya kukopesha kwa riba lakini nikawa nakosa muongozo wowote, nitakupm unijuze zaid namna ya kuifanyaThis week earning chat ndio hio.
watu wanakopa hadi kwa masaa tu wanarudisha hela ya wiki[emoji120][emoji120][emoji120]
View attachment 2162071
Kwangu sikimbiwi mkuu sana sana mimi inafikia hatua naishiwa hela kabisa ya kukopesha.Mimi wanakimbia nikiwaambia 20% riba kwa siku 14 hii ipoje kwako
Mkuu kwangu imefikia hatua sasa natafutwa, na wanajipangia riba wenyewe.Sidhan kma utaweza kuiendesha long term na kwa ukubwa kwa hiyo strategy
Hahaha duhNimejaribu kuweka Tangazo mtaa wa pili kwamba nakopesha.
duh nimepigiwaa simu hizo mpaka nimechoka!
Msimamo wangu uko pale pale, sitoi hela bila kitu kuwekwa bondi.
baada ya hapo ndio tunaandikishana.
Duh congole mkuu
Hongera sana mkuu ila uwe na roho ngumu.Leo na mimi nimeanza Mmoja
Check your pm mkuu.Hongera sana mkuu ila uwe na roho ngumu.
mimi nabeba bondi kibao hapa.
mfano huyu kachukua 20,000 jioni hii, kesho analeta 22,000.
View attachment 2168327
Check your watsap mkuu
Kwa Taarifa Yako,Sidhan kma utaweza kuiendesha long term na kwa ukubwa kwa hiyo strategy
InawakaπHongera sana mkuu ila uwe na roho ngumu.
mimi nabeba bondi kibao hapa.
mfano huyu kachukua 20,000 jioni hii, kesho analeta 22,000.
View attachment 2168327