Nimeangukiwa na kitu kizito chenye ncha kali

Sasa naanza kuona utofauti kati yangu na wanaume wengine! Nimepoteza hisia za kimapenzi kwa tubinti ambatwo mkifahamiana leo, kesho kutwa mzinga!

Hisia zimehamia kwa wake za watu sasa! Kwa mara ya kwanza nilifanya kutafuta mwanamke anaejielewa ili kuupoza moyo na madonda yaliyonikumba previous! Sasa ushakuwa ugonjwa!

Hapa mtaani, niliwalia rada wanne, na wote washanitunuku, sikupigwa mizinga, bali ni vizawadi vya hapa na pale, sanasana kijora cha 12,000 tu!

Ukutane na huyo mwanamama kaufungasha, kautupia mdera wake, yanas.uguana tu anapotembea, hawana mambo mengi kabisa! Ila vijibinti utavikuta na lip shine nyekundu midomoni, kama midoli, hisia zinapita kushoto [emoji34]

Nowdays nimekuwa addicted, hisia na vibinti sina kabisa!

Siku zinavyozidi kwenda, nahisi kuangukiwa na kitu kizito chenye ncha kali hapa uswahilini! Maake wake za watu ndo wanaongoza kwa mitego na ushawishi! Hawana vizinga kabisaaa! [emoji39][emoji39]
Wee Ni Kam mm tu ila tuwe makini wasije kutumwagia tindikali tu na kuwindwa
 
Subiri na wewe siku ununuliwe dera jipya au utavalishwa hilo hilo ulilohonga na shanga juu.
 
Jamaa angu juz aliandikiwa msg na jaamaa kuwa amemfatilia kwa muda mrefu na ameshajuwa kila kitu mpk anako ishi na gar anayo tumia yaani Ni kila kitu amemuambia sas akamuambia kuwa mkeo ameahamjuwa kitakachompata asilalamike au atamuacha mke amalizane nae yey

Jama anatembe na wake za watu wawili HV sas ajajuwa Ni mke yupi kashtukiwa
 
Hakuna mwanamke wa mwanaume mmoja! Tusaidianeni ku share utamu! Hata wanawake wenyewe wanalifahamu hili!
 
Mkuu, achana na wake za wanaume wenzako, ni ushauri wa bure kabisa.

Huko juu umeshauriwa utafute 30+ unmarried, wapo wengi sana na wana mapenzi kama yote.

Wanaume waliooa wengi hawana mzaha na wake zao, unaweza kupoteza uhai kisa tobo na furaha ya dk chache tu.
 
Sasa naanza kuona utofauti kati yangu na wanaume wengine! Nimepoteza hisia za kimapenzi kwa tubinti ambatwo mkifahamiana leo, kesho kutwa mzinga!

Hisia zimehamia kwa wake za watu sasa! Kwa mara ya kwanza nilifanya kutafuta mwanamke anaejielewa ili kuupoza moyo na madonda yaliyonikumba previous! Sasa ushakuwa ugonjwa!

Hapa mtaani, niliwalia rada wanne, na wote washanitunuku, sikupigwa mizinga, bali ni vizawadi vya hapa na pale, sanasana kijora cha 12,000 tu!

Ukutane na huyo mwanamama kaufungasha, kautupia mdera wake, yanas.uguana tu anapotembea, hawana mambo mengi kabisa! Ila vijibinti utavikuta na lip shine nyekundu midomoni, kama midoli, hisia zinapita kushoto [emoji34]

Nowdays nimekuwa addicted, hisia na vibinti sina kabisa!

Siku zinavyozidi kwenda, nahisi kuangukiwa na kitu kizito chenye ncha kali hapa uswahilini! Maake wake za watu ndo wanaongoza kwa mitego na ushawishi! Hawana vizinga kabisaaa! [emoji39][emoji39]
Ukiendelea na hiyo tabia, basi tegemea Kipondo na Kitombo siku moja.
 
Mkuu, achana na wake za wanaume wenzako, ni ushauri wa bure kabisa.

Huko juu umeshauriwa utafute 30+ unmarried, wapo wengi sana na wana mapenzi kama yote.

Wanaume waliooa wengi hawana mzaha na wake zao, unaweza kupoteza uhai kisa tobo na furaha ya dk chache tu.
Well said hapa sina cha kuongezea[emoji109]
 
Back
Top Bottom