''KATAA NDOA UISHI KWA UIMARIKE KIUCHUMI'' nimeipenda hii kauliHakuna singo maza atakuambia ameachana na aliyezaa nae juzi au jana au wiki au mwezi, atakuambia alizalishwa wakaachana mtoto akiwa na miez au mwaka... Hakuna singo maza atakuambia bado ana mawasiliano na baba mtoto... Hakuna singo maza ataonyesha madhaifu yake yaliyomfanya aachwe atayaficha ili umuamini she's perfect alionewa tu kuachwa...
The only thing you can do Mzalishe kama alivyo mzalisha mwanaume mwenzako then muache kama alivyo achwa...
KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI...
Wewe hujifunzi tu,hivi unadhani atakupenda kuliko huyo mtoto,au anakuambia hivyo ajihakikishie usalama wa aibu yake....au hukusoma uzi wa yule jamaa aliomba mwarabu single mama kwa mtindo huu wa kwako yakaja,kumkuta makubwa baadaeMbona mnanitisha sasa badala ya kunipa moyo kaka zangu
Wewe unaoa mwanamke na vitu vinavyojenga ndoa NiNdugu zangu,
Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona kabisa ana vigezo vyote vya kuitwa mke.
Huyu binti ni mzuri wa sura mpka shepu anafanya kazi zake mwenyewe sio ombaomba kama hao wenu na ananionesha mapenzi ya dhati kabisa na kuniheshimu ila shida ni kuwa tayari ana mtoto, kizuri pia kwa first day namtongoza hakunificha aliniambia kabisa ana mtoto ila baba ake walishaachana wakati mtoto ana miezi 3, huyu dogo sasa hivi ana 6 yupo kwa bibi yake na huyo baba yake yupo Kenya.
Kwa mapenzi anayonipa nafikiria kubadili mtazamo wangu wa kutooa single maza mi naoa huyu huyu maana hawa wengine shida tupu. Kuhusu kusomesha na huduma za mtoto hilo nimemwambia sio jukumu langu labda nisaidie tu baadhi ya mambo madogomadogo tu.
NB: Huyu dada sio Mtanzania ni Mkenya wa Mombasa.
Simple like thatNasema oa, akizingua siuna muacha? Mimi sioni tatizo hapo
Oa mkuu uwe case studyNdugu zangu,
Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona kabisa ana vigezo vyote vya kuitwa mke.
Huyu binti ni mzuri wa sura mpka shepu anafanya kazi zake mwenyewe sio ombaomba kama hao wenu na ananionesha mapenzi ya dhati kabisa na kuniheshimu ila shida ni kuwa tayari ana mtoto, kizuri pia kwa first day namtongoza hakunificha aliniambia kabisa ana mtoto ila baba ake walishaachana wakati mtoto ana miezi 3, huyu dogo sasa hivi ana miaka 6 yupo kwa bibi yake na huyo baba yake yupo Kenya.
Kwa mapenzi anayonipa nafikiria kubadili mtazamo wangu wa kutooa single maza mi naoa huyu huyu maana hawa wengine shida tupu. Kuhusu kusomesha na huduma za mtoto hilo nimemwambia sio jukumu langu labda nisaidie tu baadhi ya mambo madogomadogo tu.
NB: Huyu dada sio Mtanzania ni Mkenya wa Mombasa.
Aoe aje atuletee mrejesho. Pengine wa Mombasa wana tofauti na wa bongoMi naona ingekuwa heri ungeandika haya wakati ushamwoa....ila hili laweza kukufanya usitimize malengo.
Ngoja waje wasagia kunguni
Weee, pengine ni yy buda. Kaa chonjo chombo inabebwa na wanaMaelezo hayo ni ya binti nnaemfahamu [emoji848], Anyways pengine ni taarifa zinazofanana tu
Mkuu umeongea ukweli mtupu. Single mother akiachwa huwa anajifunza na kutokifanya kiluchomfanya aachwe hadi pale atakapo ingia ndani ndio vumbi linatimkaHakuna singo maza atakuambia ameachana na aliyezaa nae juzi au jana au wiki au mwezi, atakuambia alizalishwa wakaachana mtoto akiwa na miez au mwaka... Hakuna singo maza atakuambia bado ana mawasiliano na baba mtoto... Hakuna singo maza ataonyesha madhaifu yake yaliyomfanya aachwe atayaficha ili umuamini she's perfect alionewa tu kuachwa...
The only thing you can do Mzalishe kama alivyo mzalisha mwanaume mwenzako then muache kama alivyo achwa...
KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI...
Mkuu watu hawakutishi wanakuambia ukweli ulio mchungu. Usipende kuambiwa vitu vya kufurahisha moyo tu jifunze kusikiliza na ukweli mchungu. Umeleta uzi mkuu ili ushauriwe watu ndio wanakushauri ila maamuzi ni yako mkuu.Mbona mnanitisha sasa badala ya kunipa moyo kaka zangu
Acha ibebwe tu....Kuna mazingira yalifanya nikabwaga na sikuwahi kupigaWeee, pengine ni yy buda. Kaa chonjo chombo inabebwa na wana
Haya sasa. Na wenzio wanamjua. Kua makini sana na kiumbe kinaitwa single mother.Dah maelezo ndio hayo kasoro jina huyu ni muislam ana lafudhi ya kimombasa
Mwana anataka kujitwishaAcha ibebwe tu....Kuna mazingira yalifanya nikabwaga na sikuwahi kupiga
Huyu dada sio Mtanzania ni Mkenya wa Mombasa.