Nimeangalia video ya huyu Mkenya, WCB wanatakiwa kuitafakari

Wasafi festival is not a charity festival , it’s pure business , if you have high demand your brand can compete on our market.

These Kenyan fools should learn this before spitting nonsense

We (Tz)have never demanded reciprocity on Nigerian Music shows due to the fact that Nigerian artists have high demand comparing to ours, it’s just a simple fact .
 
Fact.
 
Pumba tupu...zaidi ya wasafi mna nn tena...
 
Kinacho wasumbua ni unafiki na wivu, wakenya ni wajanja sana...ukishampa nafasi moja tu, basi anafunga goli..

Cheki akothee alikua msanii local tu sana, alipopata chance ya kufanya collabo na diamond tu, dem alivuruga mpka naija na sauz..

Sasa diamond ajichanganye, afanye collabo na msanii wa kenya mwenye yuko poa kimziki, atashangaa..
Akothee ni vile tu hayuko vizuri
 
Vyovyote utakavyosema
Huwa kila siku nawaambieni jaribuni kushirikisha angalau ubongo kile mnachopreply hapa,
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza,
Shida ya wasanii wenu ni kujifungia kenya, Hawajitumi ipasavyo kwenye kutangaza kazi zao,
Hawafanyi media tour ili wajitangaze,
Wanaiga ovyo ovyo badala wajikite kwenye kitu kinachoeleweka,
Hawawekezi ipasavyo kwenye kazi zao ,
Hawana management za maana zinazochakarika huku na kule ,
Hawajibrandi ipasavyo.
 
Wanajifungia kenya, lkn kinachoshangaza mziki wa kenya unalipa vizuri hata kuliko hko kwenu...

Sasa unataka mtu ajisumbue na hvyo vyote wakati jamaa mziki kwake sio tegemeo sana km walivyo wasaanii wengi wa kenya...
Utakuta jamaa ni doctor, architec n.k
Sio km hko kwenu msanii hta form1 hajui ikoje.. ndio manake ma celeb wenu hufanyika vitu vya kijinga jinga kw kutokua na elimu ya maana
 
  • Dislike
Reactions: rr3

Hahahah kichekesho cha siku 😂😂😂
Muziki wenu unalipa my foot,
Mara ngapi wasanii wenu wanalalamika hawalipwi vizuri huku wakilaumu kuwa wasanii wa Tanzania wanalipwa vizuri huko,
Hiyo elimu ya maana imewasaidia nini wasanii wenu mbona bado wako local sana,
Kama mziki sio tegemeo kwa wasanii wenu sasa mbona kila mara ni kulalamika tu,
Muziki wa Tanzania ni kama maji usipoyanywa lazima utayaoga tu yaani,
Wasanii wenu hawavuki border wanaishia tu huko Wakati wasanii wetu karibia wote wanafahamika huko kutokana na kuwa ni wajanja wanaenda na Wakati wanajua soko linataka nini.
 
Kama elimu ndio imejaza watu jana pale wasafi fanyeni na kwenu
 
Kikubwa ni kwamba Wasafi ime tikisa East Africa lakini ni kweli kuli takiwa kuwe na msanii japo mmoja mmoja toka Kenya na Uganda uki zingatia wasanii wengi sana wa zamani Jana wame pata nafasi kwani East Africa ni fan base kubwa sana ya mziki wa kibongo.
 
Kama elimu ndio imejaza watu jana pale wasafi fanyeni na kwenu
Thats not our culture bro...
Hku hatupangiwi siku ya kula sheree, na wala nyangau hawez pagawa sana na msanii mpka ababaikie show km hzo unaangalia mipango yako kwanza na mazingira, wala sio kufuata upepo tu...
Hapo watu wameenda kupigiwa play back tu na wala hmna lolote

Umati umejaa wahuni watupu
 
Hahahah kichekesho cha siku 😂😂😂
Muziki wenu unalipa my foot,
Mara ngapi wasanii wenu wanalalamika hawalipwi vizuri huku wakilaumu kuwa wasanii wa Tanzania wanalipwa vizuri huko,
Hiyo elimu ya maana imewasaidia nini wasanii wenu mbona bado wako local sana,
Kama mziki sio tegemeo kwa wasanii wenu sasa mbona kila mara ni kulalamika tu,
Muziki wa Tanzania ni kama maji usipoyanywa lazima utayaoga tu yaani,
Wasanii wenu hawavuki border wanaishia tu huko Wakati wasanii wetu karibia wote wanafahamika huko kutokana na kuwa ni wajanja wanaenda na Wakati wanajua soko linataka nini.
Na hii show ya wasafi festival imeonesha kwamba Tanzania ndio capital of entertainment Africa, nimesoma comments kutoka Nigeria, Ghana, SA, Tanzania,... Kila mtu anasema hii show ni Hollywood standard haijawahi kutokea, wa Nigeria hawaamini, stage ni world standards and everything
 
Wacha ujinga! U r bad!
Comments za upande wa pili 😉😉😉
20191111_073943png.png
 
Sauti soul wangeliitwa hapo, mngelijionea maajabu..wale watu wanajua sana, sidhani km kuna mtu angeliwafunika kwenye jukwaa..
Manake kw live show tu, hawana mpinzani EAC..

Cheki hyo kwanza
Miezi miwili iliyopita walikuja kufanya show Dar, walifanya katika ukumbi mdogo sana lakini watu hawakujaa, Mziki wa Kenya ni bado sana
 
Back
Top Bottom