financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,141
- 43,366
Hee unamaanisha kunikumba haya ya mwandiko huo mkuu? Lini hiyo niliandikiwa ama kuandika hivo ? Mnyakyusa yupi pia?Ushamsahau yule mnyakyusa?maana unavyomvaa mwenzio utadhan hayawah kukukumba
Duuu!!!, Pua kama bakuli mmmmmh πππHiyo writing mmh kweli chuo ameenda kusomea ujingaπ
Ila nemuelewa kasema koma kabisa kummendea na mpua wako huo kama bakuliπββοΈ
Hili jina Chuo Kikuu linhetafutiwa maana nyingine.Habarini! Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.
"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"
Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
Hapana,kusema kuwa anapua kama sahan una udhibitisho?.,..Mnyakyusa mwenye saut ya kokoto aliekuwazisha mwaka mzimaHee unamaanisha kunikumba haya ya mwandiko huo mkuu? Lini hiyo niliandikiwa ama kuandika hivo ? Mnyakyusa yupi pia?
Dah don't take it too serious mkuu! Mimi nimetafsiri nilichokielewa kutoka hiyo sms ya mdadaπ wewe umeelewaje?Duuu!!!, Pua kama bakuli mmmmmh πππ
We dada wewe......ππππππ
Pua kama sahani tena? Umeona na wewe unavyomvaa mwanaume mwenzio?, kwahiyo kama namuwaza mwaka mzima ndiyo sitakiwi kucomment chochote kwenye nyuzi? Nikae kama nipo eda? Aah mkuu life is too short afu hapo mimi nilitania na ndyo maana mleta uzi akaishia kucheka, sasa naona wewe ndiyo umenivaa mimi unanifokea. Usinifokee bana na kama umemind meza tikiti.Hapana,kusema kuwa anapua kama sahan una udhibitisho?.,..Mnyakyusa mwenye saut ya kokoto aliekuwazisha mwaka mzima
Mzee mwenzangu umekielewa hicho kilugha?Piga chini, wachuchu wapo wengi tu
Aaah, nilikua napita tu, huo mwandiko unaniongezea matatizo tu....Dah don't take it too serious mkuu! Mimi nimetafsiri nilichokielewa kutoka hiyo sms ya mdadawewe umeelewaje?
Kwa hyo mkuu umeamua nivaa kwa kukukumbusha ya nyuma?nisamehe mkuu,it was not ma intention,nlikuwa natania tu piaPua kama sahani tena? Umeona na wewe unavyomvaa mwanaume mwenzio?, kwahiyo kama namuwaza mwaka mzima ndiyo sitakiwi kucomment chochote kwenye nyuzi? Nikae kama nipo eda? Aah mkuu life is too short afu hapo mimi nilitania na ndyo maana mleta uzi akaishia kucheka, sasa naona wewe ndiyo umenivaa mimi unanifokea. Usinifokee bana na kama umemind meza tikiti.
Delta 1, this is Alpha 1 reporting. Female terrorist in sight. Man down I repeat man down, Olympus has fallen.
Request for immediate back up.
Over and out
Acha ufala kashasema ana mtu wake hakuitajiKama niendelee kukaza au!
Sitakii wewe ndiye unanivaa mimi! Ya nyuma wala hata hayahusiani na mada, we ni mkorofi tu, nna kosa gani kumwambia kuhusu pua yake ilivo kubwa? Nimekusamehe ila sitokusahau Kill boyπKwa hyo mkuu umeamua nivaa kwa kukukumbusha ya nyuma?nisamehe mkuu,it was not ma intention,nlikuwa natania tu pia